1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,166
- 14,305
Mkuu kuwa mpole, watu washaanza kuona sms,Kuna wadau wanaweza wakaamini. Ila ukweli ni kwamba bado salary haijaingia kwa wafanyakazi wa serikali mpaka muda huu ninapoandika huu ujumbe hivyo plan b inahitajika kwa wale wenzangu na mimi. Labda kama wanaingiza kwa mafungu jambo ambalo halipo kwa sasa.