Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Husikeni na somo tajwa hapo juu ,
Mabeberu ambao nchi yetu ipo ktk vita kali ya kiuchumi dhidi yao kuna kila dalili kwamba wamezuia mishahara ya watumishi umma maana hawakupendezwa kitendo cha Mheshimiwa mtukufu kutoa mshahara tarehe 19 /04/2019
HUWA NACHUKIZWA SANA NA WATU WENYE AKILI NDOGO YA KIFUU CHA NAZI KAMA WEWE. EMPTY HEAD
 
Jf ndio mwajiri
Mshahara mtapata leo jioni halafu uwa nachukia mtu anapoulizia salary halafu kuna watu wengine wanaanza kuponda mshahara ni haki yake kwa sababu amefanya kazi tuache roho mbaya na chuki jamanii
 
Ifike kipindi dharau zikae pemben, nani alikwambia ni mwalimu tu mwenye njaa Kali ,hizo imani za kishamba na kiwaki ifike mahali mzitue kabisa ,wengi mmekariri kuwa walimu ndio wenye maisha magumu sana kuliko kada zingine as if watumishi wengine wana mishahara mikubwa kuzid waalimu,pia kufanikiwa kimaisha ni akili ya MTU binafsi kuna watu wanafanya kazi bank na tra lakin wanakopa pesa kwa hao hao walimu ,narudia tena hiyo dhana ya kuwadharau walimu ife kabisa na ikomee jumla ,huyo huyo mwalimu unayemdharau hapa ndie kakufanya ujue hata kutype huo uharo wako
Bila shaka wewe ni mwalimu,hebu anzisha hata kilimo cha mboga mboga acha utegemezi wa mshahara.
 
Mshahara mtapata leo jioni halafu uwa nachukia mtu anapoulizia salary halafu kuna watu wengine wanaanza kuponda mshahara ni haki yake kwa sababu amefanya kazi tuache roho mbaya na chuki jamanii
Alafu kuna tujitu hapa jf tunajifanya maisha safi kumbe hamna kitu ,full dharau kwa watumishi hasa kada ya ualimu kila kitu wanapenda kumtolea mfano mwalimu kama ndie mwenye njaa sana ila hizi I'd fake zinawasitil sana baadhi ya watu lasivyo watu hapa wasingekuwa wanachangia chochote maana hata kula yao tu ni bahat nasibu
 
Mkuu achana na hao wadau wasiojitambua.By the way wajiulize idadi ya watumishi wrote wa umma.Halafu wajiulize idadi ya watanzania wote wanaotakiwa kujitegemea.Akili zitawakaa sasa,isitoshe walimu mpaka sasa ndio waajiriwa wengi zaidi katika Serikali kuliko kada zingine.Sasa hawa wanaoposti uo uharo ndio kusema wote ni wakurugenzi wenye marupurupu kibao nje ya mishahara yao?JF wengi wanajifanya maisha yao mazuri.Usikute wengine wanapost wakiwa kwenye sebule za mashemeji zao.By the way,walimu mnaowadharau kila kukicha ndio wanaoongoza nchi kutokea Magogoni.UKWELI MCHUNGU SANA HUU.KILA MTU APAMBANE NA HALI YAKE.ALUTA CONTINUA,OVA!
 
Mambo mazuri hayataki haraka.

Mkuu kausoma mchezo na hasa response ya watumishi wa umma baada ya Mei Mosi kule Mbeya. Huenda anataka kuwafanyia surprise ili utoke mshahara sio masihara ya siku zote. Kuweni na subira, maana yavuta heri alisema.

Lakini tusisahau mshahara ni hisani. Tuna vitu vya maana kama ma Boeing mapya, barabara, ma Flyover, Stieglers Gorge nk. Tuvumilie jamani
 
Mkuu,toka lini mshahara ukawa hisani?Hebu rudia kusoma ulichopost ndugu!
 
Mkuu, sina haja ya kurudia. Nimeandika makusudi kabisa. Nina maana yangu na wengine wameelewa kabisa.

Kama kuna annual increament ambayo ipo kisheria, lakini mtu kwa utashi wake amezuia, maana yake yake nini? Ipo siku atasema sitoi mshahara mwezi huu. Imekuwa hisani kwa maana hiyo Kamanda.
 
Mkuu achana na hao wadau wasiojitambua.By the way wajiulize idadi ya watumishi wrote wa umma.Halafu wajiulize idadi ya watanzania wote wanaotakiwa kujitegemea.Akili zitawakaa sasa,isitoshe walimu mpaka sasa ndio waajiriwa wengi zaidi katika Serikali kuliko kada zingine.Sasa hawa wanaoposti uo uharo ndio kusema wote ni wakurugenzi wenye marupurupu kibao nje ya mishahara yao?JF wengi wanajifanya maisha yao mazuri.Usikute wengine wanapost wakiwa kwenye sebule za mashemeji zao.By the way,walimu mnaowadharau kila kukicha ndio wanaoongoza nchi kutokea Magogoni.UKWELI MCHUNGU SANA HUU.KILA MTU APAMBANE NA HALI YAKE.ALUTA CONTINUA,OVA!
Nimekupa mkuu yaan hii nchi watu ujuaji mwingi full dharau alafu ukirudi kwenye ukweli au uhalisia Wa maisha unakuta hao watu wanaowadharau watumishi hasa walimu wana hali mbaya sana hata hati ya kauwanja ka squares metre 20 x 20 hawana zaid wanamilik smartphone za laki moja na nusu then wanakuja kuwakebehi walimu wenye uhakika Wa kupata chochote mwisho Wa mwezi ,na hii hulka imewajaa sana watz kiukweli nachukizwa sana na MTU anayemdharau mwalimu maana nikikumbuka mwalimu alikonitoa alipaswa kuheshimiwa sana mbaya zaid hadi vilaza na masikini Wa kutupwa Leo hii anamkashfu mwalimu si ajabu unakuta anagongea hadi pakulala hana hata gorodoro yeye ni kudandia kwa washakaji zake ,ifike mahali mwalimu aheshimike na ifike hatua mfute mawazo mgando kuwa mwalimu ni mtumish pekee mwenye njaa sana ,mwalimu Wa miaka ya 90 sio mwalimu Wa miaka ya 2000 walimu wanamiliki magari,,nyumba za kupangisha ,magest house ,mashamba ,biashara na vitu vya maana ,so MTU kuwa na njaa au kutokuwa na njaa ni yeye atavyocheza na maisha coz hata watu Wa bank tunao mtaan lakin wana maisha magumu kuliko hata walimu .
 
Mkuu, sina haja ya kurudia. Nimeandika makusudi kabisa. Nina maana yangu na wengine wameelewa kabisa.

Kama kuna annual increament ambayo ipo kisheria, lakini mtu kwa utashi wake amezuia, maana yake yake nini? Ipo siku atasema sitoi mshahara mwezi huu. Imekuwa hisani kwa maana hiyo Kamanda.
Sawa mkuu,nimekuelewa chief kwa namna ulivyofikisha ujumbe.Bravo!
 
Nimekupa mkuu yaan hii nchi watu ujuaji mwingi full dharau alafu ukirudi kwenye ukweli au uhalisia Wa maisha unakuta hao watu wanaowadharau watumishi hasa walimu wana hali mbaya sana hata hati ya kauwanja ka squares metre 20 x 20 hawana zaid wanamilik smartphone za laki moja na nusu then wanakuja kuwakebehi walimu wenye uhakika Wa kupata chochote mwisho Wa mwezi ,na hii hulka imewajaa sana watz kiukweli nachukizwa sana na MTU anayemdharau mwalimu maana nikikumbuka mwalimu alikonitoa alipaswa kuheshimiwa sana mbaya zaid hadi vilaza na masikini Wa kutupwa Leo hii anamkashfu mwalimu si ajabu unakuta anagongea hadi pakulala hana hata gorodoro yeye ni kudandia kwa washakaji zake ,ifike mahali mwalimu aheshimike na ifike hatua mfute mawazo mgando kuwa mwalimu ni mtumish pekee mwenye njaa sana ,mwalimu Wa miaka ya 90 sio mwalimu Wa miaka ya 2000 walimu wanamiliki magari,,nyumba za kupangisha ,magest house ,mashamba ,biashara na vitu vya maana ,so MTU kuwa na njaa au kutokuwa na njaa ni yeye atavyocheza na maisha coz hata watu Wa bank tunao mtaan lakin wana maisha magumu kuliko hata walimu .
Tatizo wapo uchi,halafu wanachutama mkuu!
 
hela imetumika kulipia bombadier,hakuna mshahara mwezi huu
 
Back
Top Bottom