Norton82
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,192
- 1,076
🙆🏽♂️🙆🏽♂️Sasa wanawapangia watu matumizi!?!?![emoji134]
🙆🏽♂️🙆🏽♂️Sasa wanawapangia watu matumizi!?!?![emoji134]
Hatareeeeee
Tufanyaje sasa
We acha tu.Yaani ni full njaaa
Hahahaahaaa. Uzi wa watu maskini ukiwepo na wewe. Ungekuwa tajiri hata usingeingia humu ndaniUzi wa watu maskini hohehae
Tayari au bado wakuu?
Kwa sisi wanajeshi wa uvinza. Ilishatoka na tulishaimalizaWakuu, naomba kuuliza...Mishahara ilitoka au bado?
Now nipo shambani, sipo karibu na Bank. Naomba mnifahamishe ndugu zangu.
Mkuu usicheke bhana,kiu kimenikamata kweliHahahahhaha
Mkuu usicheke bhana,kiu kimenikamata kweli
Umeona mamiloo eeh?Aisee ukitoka nitumie DM ,ili mambo yawe yechu yechu kwa fasi!Weekend hii kuna mwanajf nilitaka tukadate sasa naona kasalary kanataka kuniaibishaaa
Duh! [emoji848][emoji848][emoji848]Weekend hii kuna mwanajf nilitaka tukadate sasa naona kasalary kanataka kuniaibishaaa
Ume
Umeona mamiloo eeh?Aisee ukitoka nitumie DM ,ili mambo yawe yechu yechu kwa fasi!
Duh! [emoji848][emoji848][emoji848]
Nami niweke order....Mshahara ukitoka tufanye yetu[emoji4][emoji4]Mbn wagunaaa
Ni kweli mkuu,mambo ni mengi hususani kwa familia zetu pendwa,ungekuwa karibu ningekupatia kahawa kuondoa baridi,tukiusubiria.Aiseee japo mm huwa nakutanisha salary ila ya mwezi huu nimeutaman sana