Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

nashangaa watu wanavyomnanga mtoa post , kwanza mtu yuko shamba means ana ujasiriamali huko anauliza mshahara wake watu wanakuja ati kutegemea mshahara ni kazi sana though hata angetegemea sasa si ndio kazi inayompa kipato ni dhambi mtu kuuliza haki yake?? tuacje kujifanya kua tuna madili makubwa makubwa tunawajibu watu kwa kuwakebehi wakati kila mtu ana shida tu haya ninyi mnaosema hamtegemei kabisa mshahara kwann basi hatuwasikii kwa mayatima huko kupeleka mishahara yenu kama ilivyo au basi tufanye mkitolewa kwenye payroll hamtakuja kulalamika hapaa
 
Husikeni na somo tajwa hapo juu ,
Mabeberu ambao nchi yetu ipo ktk vita kali ya kiuchumi dhidi yao kuna kila dalili kwamba wamezuia mishahara ya watumishi umma maana hawakupendezwa kitendo cha Mheshimiwa mtukufu kutoa mshahara tarehe 19 /04/2019
na kweli ! Kila mmoja ataguswa ndipo mtakapo lipuka
 
Husikeni na somo tajwa hapo juu ,
Mabeberu ambao nchi yetu ipo ktk vita kali ya kiuchumi dhidi yao kuna kila dalili kwamba wamezuia mishahara ya watumishi umma maana hawakupendezwa kitendo cha Mheshimiwa mtukufu kutoa mshahara tarehe 19 /04/2019
Payroll wanayo Mabeberu...!!!
 
Bila shaka wewe ni mwalimu,hebu anzisha hata kilimo cha mboga mboga acha utegemezi wa mshahara.
Husikeni na somo tajwa hapo juu ,
Mabeberu ambao nchi yetu ipo ktk vita kali ya kiuchumi dhidi yao kuna kila dalili kwamba wamezuia mishahara ya watumishi umma maana hawakupendezwa kitendo cha Mheshimiwa mtukufu kutoa mshahara tarehe 19 /04/2019
 
Husikeni na somo tajwa hapo juu ,
Mabeberu ambao nchi yetu ipo ktk vita kali ya kiuchumi dhidi yao kuna kila dalili kwamba wamezuia mishahara ya watumishi umma maana hawakupendezwa kitendo cha Mheshimiwa mtukufu kutoa mshahara tarehe 19 /04/2019
Mshahara kawaida unatoka tarehe 23 ya kila mwezi.

Kutoa chini ya hapo ni ihsaani zao.

Subiri leo Acha kulia lia bhana.
Kuchelewa siku moja au mbili kawaida tu kama hukujibajeti mwenyewe utajijua
 
Husikeni na somo tajwa hapo juu ,
Mabeberu ambao nchi yetu ipo ktk vita kali ya kiuchumi dhidi yao kuna kila dalili kwamba wamezuia mishahara ya watumishi umma maana hawakupendezwa kitendo cha Mheshimiwa mtukufu kutoa mshahara tarehe 19 /04/2019
Nahisi uliwahi kuugua ''maradhi ya kichwa' sidhani kama hizi ni akili za mtu mzima kichwani.
 
Back
Top Bottom