Hivi mimi superbug sifa yangu kuu humu JAMIIFORUM ni ipi?

My dada unanifurahishaga vile uko positive wakati wote. Hivi huwa unakasirika?

Sent using Jamii Forums mobile app

Aahahahhahaaaa Khatwe asante Kwa maono yako, kuhusu kukasirika huwa nakasirika na nashikwa na hasira haswa ila haikai masaa mengi narejesha tabasamu langu....na nikikasirika ujue imenifika pomo...aka uvumilivu umenifika mwisho.

Kuhusu kuwa positive naona ni hulka like nimezaliwa au nimekuzwa na mitazamo hiyo....
 
Huyu dogo mi mwenyewe ndio naliona jina leo, anyway nimejua kuna jina kama hilo jf.
Kwa Ushauri tu: kijana bado ni mdogo ukute una ka spacio sasa ukishika na chupa na maji wakati unashuka mwenyewe unaona maisha ushamaliza take care dogo..

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipata ajali na hiyo gari siku netanyahu anakuja rwanda miaka minne imepitampk Leo sijaigusa so gari kwangu sio ishu lofa wewe
 
Aahahahhahaaaa Khatwe asante Kwa maono yako, kuhusu kukasirika huwa nakasirika na nashikwa na hasira haswa ila haikai masaa mengi narejesha tabasamu langu....na nikikasirika ujue imenifika pomo...aka uvumilivu umenifika mwisho.

Kuhusu kuwa positive naona ni hulka like nimezaliwa au nimekuzwa na mitazamo hiyo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We si ndo uliandika Uzi umemezwa na chatu akakutema ...embu ngoja kidogo

Weeh rose ..weeh rose uko wapi mbona hamjaniekea chapati siji tena hapa matako bar hampo serious

IMG_20200209_090338_481.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom