Hivi mimi superbug sifa yangu kuu humu JAMIIFORUM ni ipi?

Unashinda MMU utanijuaje?
Kwani MMU ni jukwaa la kijinga? Niko jukwaa zote hadi za members only najua kina kiranga,mshana,mwanakijiji,daby,khatwe,mzigua90 ,mrangi ;gudume etcna wengine kama 50 ila ww cjapata kukusikia kabisa
 
Kwani MMU ni jukwaa la kijinga? Niko jukwaa zote hadi za members only najua kina kiranga,mshana,mwanakijiji,daby,khatwe,mzigua90 ,mrangi ;gudume etcna wengine kama 50 ila ww cjapata kukusikia kabisa
Wivu wa kike ndio maana gentamycine anawapa makav watu kama nyie
 
Nakubali sifa zote sio za kunitweza
Kawaida huwezi ona uso wako bila kioo, kwa mantiki hiyo, huwezi kujua mwenyewe upo je hadi sie tukueleze. Hilo swali lako usije kuliuliza tena maishani mwako. Ni swali la kitoto, upo hivyo ndivyo ulivyo! Aidha acha kusaka sifa kama akinamama
 
Naona unataka nikuingizie tigo pesa tuma namba
 
Well yawezekana nilishakusoma michango yako ila kumbukumbu haijavuta kukukumbuka, si mbaya kwa vile akili yangu imekita kusema kuwa ndo nakuona hapa kwa mara ya kwanza, unaonekana unajiamini.

Usirudi nyuma kwenye hilo.

Enjoy your weekend.

Cheers!!.
My dada unanifurahishaga vile uko positive wakati wote. Hivi huwa unakasirika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom