Hivi mikocheni kuna nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi mikocheni kuna nini?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kaitaba, Oct 29, 2009.

 1. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nimejiuliza maswali mengi kuliko majibu, kwa vile hapa JF kuna kila aina ya wanataaluma, hasa wana sayansi na wainjinia , naomba majibu ya maswali haya;

  Hivi kuna nini mikocheni, kila redio itangazie kutokea hapo?

  Angalia redio zenyewe ni,
  -Prays power
  -Clous fm
  -Mlimani Redio
  -TBC taifa
  -Redio one nk

  Zote hizi zinatangazia kutoka mikocheni, kuna nini huko?
   
 2. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Is the high income class locality for locals thatis closer to the city! Masaki O'bay Ada na Upanga panatisha interms of price for land and rental price! Isitoshe bado viwanja vinapatikana na baadhi ya maeneo ni industrial!
   
 3. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kinachonishangaza ni hiki, TBC wana ofisi zao nyerere rd na bado wanalazimika kujiunga na mikocheni?,

  Pia Mlimani redio wana ofisi zao UDSM lakini wanatangazia mikocheni,

  Kama haitoshi Prays power wanayo maeneo sehemu nyingi zinazomilikiwa na st mary (Dr Lwakatare) lakini kaziacha zote hizo na kwenda mikocheni,

  Nafikiri kuna kitu cha ziada mikocheni sio suala la bei tu, wataalamu wa kisayansi wanisaidie kujua hili.
   
 4. JS

  JS JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2009
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Labda ndo sehemu ambayo waves zinatengenezwa kiurahisi zikasambazwa bila shida.kwa uelewa wangu mdogo tuu.
   
 5. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  And what is the problem with the location??

  Ujumbe unwafikia watanzania hauwafikii??
   
 6. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mikocheni kwa TBC ni studio kama kama yalivyo mashirika mengine ya utangazaji duniani, kuwa na studio zaidi ya moja na mahali tofauti. Mitambo ya kisasa ya kurushia matangazo esp ya Tv imefungwa mikocheni si nyerere rd.

  Mikocheni ndio lilipo kanisa la Mh. Mch. Mkurugenzi wa shule za St. Marys, Dr. Getrude Lwakatare.
   
 7. JS

  JS JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2009
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hujajibu swali lilliloulizwa na mwenye thread. some people jamani........lol!!!
   
 8. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Sio TBC1 (TV) ila ni Redio, ukitaka kuakikisha sikiliza kipindi cha mchana huu kinarushwa kuanzia saa 7.00 hadi saa 7.30, utasikia mtangazaji wa zamu akisema `sasa tunajiunga na studio zetu za mikocheni kuwaletea kipindi cha mchana huu`,

  Shule za st Mary`s zipo kila sehemu ya Tanzania, kwanini asiweke mbagala ambapo kuna eneo kubw sana?

  Na vipi redio mlimani, morning star Redio one nk? ziwe mikocheni?
   
 9. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Umejitahidi kujibu, lakini nakumbuka msemo unaosema kwenye msafala wa mamba na kenge wamo

  Bora usingenijibu
   
 10. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Sikatai mkuu lakini ukweli ni kwamba kwa TBC kwa ujumla mitambo mingi ya kisasa ipo mikocheni though ipo na ya nyerere rd, bt ni ya zamani (analog)

  Karibu na kanisa mkuu, kituo kinapata baraka zote na kutoa pepo!

  Bt usiumize kichwa sana, it may be just coincidence!
   
 11. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kama sababu ni hiyo, basi walio karibu na makanisa wakae tayari kubomolewa maana station nyingi za redio zitataka kujenga karibu na hayo makanisa ili kupata baraka na kuondolewa pepo.
   
 12. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mimi kwa uelwewa wangu mdogo pale Mikocheni kwanza kabisa Maaeneo wanayoishi watu ni low Density ukilinganisha na sehemu nyingine za Bongo pia kule karibu na Bahari kwani Dish( Setelite nyingi zipo mashariki sasa kwa mfano MH. Lwakatare aweke Mbagala kwanza kabisa akielekeza mashariki atakutana na Kigamboni sasa nyumba zimejengwa bila mpangilo hapo atapata wave kweli? au useme uweke Temeke ndo usiseme kwanza kitaibwa kifaa kimoja kimoja na makelele kibao leo mdundiko nyumba hii kesho harusi kesho kutwa mtoto anatoka ndani basi starehe za kila aina. Sasa twende Mikocheni kama nilivyokueleza mwanzo pili kule hakuna sijui mdundiko wala mtoto anatoka ndani kule kila mtu na time yake thus hata direction inatakiwa east sasa ukiangalia east ni baharini wave zimetulia sasa wewe huoni hapo mwake mwake. Mimi kwa upande wangu nawapongeza sana hata mimi ningekuwa na redio ningeweka huko huko. Ukisema uweke Kigamboni Direction itabadilika sasa ndo ishu inakuja hapo. kwahiyo ku malizia kitu muhimu cha kunote ni WANAFUATA DIRECTION SIO KITU KINGINE KWANI SETELITE ZOTE TUNAZOTUMIA SISI HAPA HATA DUNIA I THINK ZIPO EAST. asante
   
 13. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  بك الدفاع عن الأمة ، كما يقول د. جيش سيراليون ليس
  الحق والسلطة التقديرية لبيع بك قميصا وكيتنغه


  Orijino past kwa mbwembwe.
   
 14. M

  Myamba Senior Member

  #14
  Oct 29, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Pia Morning Star ya Kisabato.
   
 15. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Orijino pastor umejitahidi, angalau nimepata ideal
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,302
  Likes Received: 22,103
  Trophy Points: 280
  Kuna mikoche
   
 17. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kule nyuma ya viwanja vya ITV kuna minara mikubwa ya kurushia na kupokea matangazo. Na penye dish kubwa kuliko yote la kwanza Bongo. Ukiachilia mbali kuwa hilo eneo limetengwa kuwa industrial, naamini kuna advantage kubwa kuwepo karibu na minara ya utangazaji kwa watu binafsi wenye vyombo vya kurushia matangazo.
   
 18. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wapo wapiga domo wengi
   
 19. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  tehe tehe tehe
   
Loading...