Hivi meno ya tembo ni malighafi ya nini?

Mwenzio anaulizia meno, wewe unazungumzia pembe.
eeh eeh eh,mkuu unajielewa kweli?meno ya tembo ni 28, mawili yako nje ndo meno chonge, magego yako ndani ya mdomo wake,aya meno chonge mawili ya nje ndio pia uitwa pembe...inawezekana miaka ya 80 tulisoma sayansi ya wanyama iliyopindishwa ila bado naiamini kuliko ya walimu wa sasa...
 
Moja ya kazi yake ni kurudisha nguvu za kiume, nimepata oda kwenye nchi 1 kusini wanataka niwapelekee hata jino moja tu ila sijui ntayapata wapi?

Jitaarishe kuvaa pingu mkuu. La sivyo tafuta biashara nyngine ya kihalali.
 
mkuu tembo au kwa jina jingine ndovu ana pembe mbili,izo pembe mbili ni meno chonge , ikumbukwe tembo ana meno 28 , yaani 26 ndani na mawili yanayochoma fizi na kutokea nje,ayo ndo yanaitwa pembe lakini pia ni meno...

imenukuliwa
 
Nafikiri wanatumia meno ya tembo kwa kiasi kikubwa kwa sababu tembo anasifa ya kipekee ya kuwa mnyama mkubwa kuliko wote katika nchikavu. Malighafi inayopatikana kutoka kwa tembo inaubora wa hali ya juu na uadimu wake unazifanya ziwe za thamani!

Wangetumia hata pembe za ng'ombe kwani zinapatikana kirahisi na zote zinatokana na keratini katika miili ya wanyama sawa na tembo

naungana na wewe...
Maana wanasema hata haja kubwa yake inatibu degedege kwa watoto
 
mkuu tembo au kwa jina jingine ndovu ana pembe mbili,izo pembe mbili ni meno chonge , ikumbukwe tembo ana meno 28 , yaani 26 ndani na mawili yanayochoma fizi na kutokea nje,ayo ndo yanaitwa pembe lakini pia ni meno...

Nope!! Yale ni meno na si pembe! They're elongated incisors huwezi sema "ni pembe pia". Kifaru ndo anapembe ila tembo call em Tusks, ndovu au meno si pembe! Hope we're good
 
Nope!! Yale ni meno na si pembe! They're elongated incisors huwezi sema "ni pembe pia". Kifaru ndo anapembe ila tembo call em Tusks, ndovu au meno si pembe! Hope we're good

mkuu labda pia tuende kwenye maana ya 'pembe' tutaelewana...
 
mkuu labda pia tuende kwenye maana ya 'pembe' tutaelewana...
Horn(pembe)- A hard permanent outgrowth of bone encased in hardened skin!!!
Tusk(Ndovu)- A
long pointed tooth, especially one which protrudes from the closed mouth, as in the elephant, walrus, or wild boar.
Two very different things, sio tu position bali hata composition pia!!

aise kiswahili ni lugha tajiri inamaana waandishi wetu hawajui kwababu leo utasikia meno ya tembo kesho utasikia pembe za ndovu sasa hapa nashindwa kuwaelewaga je meno ni pembe na je ndovu ni tembo?
harafu mbona sijawahi sikia meno ya ndovu au pembe za tembo??.always akiwa ndovu anakuwa na pembe na akiwa tembo anakuwa na meno!
 
Back
Top Bottom