meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,828
Wacha wadau watujulishe maana hizi tetesi .................
Itakuwa kweli maana mpinzani mkubwa wa Lowasa ni Makongoro.....habari za Makongoro hazitamkwi kabisa ITV..
Isitoshe mamvi kateka media zote....kiukweli NAIONA TANZANIA MPYA KUPITIA MAKONGORO, ambapo rais anaingia madarakani na HAKUNA WADHAMINI AU WAPIGA DILI WANAOMDAI...
Vita ya kupambana na VIBAKA ni kubwa..
Soon tutarudi TBC!!Itakuwa kweli maana mpinzani mkubwa wa Lowasa ni Makongoro.....habari za Makongoro hazitamkwi kabisa ITV..
Isitoshe mamvi kateka media zote....kiukweli NAIONA TANZANIA MPYA KUPITIA MAKONGORO, ambapo rais anaingia madarakani na HAKUNA WADHAMINI AU WAPIGA DILI WANAOMDAI...
Vita ya kupambana na VIBAKA ni kubwa..
Sijasahau mkuu na ndio maana nikaleta huu uzi.umesahau mara hii MENGI alikuwa upande gani wakati wa RICHMOND? aliigeuza ITV kuwa kama mali ya akina SITTA na ole sendeka
umeshasahau ugomvi wa fisadi Nyangumi na FISADI papa///
Kuna tetesi zimeenea hapa Arusha kuwa yule anayeitwa kama 'tajiri mzalendo' ni mmoja wa wafanyabiashara na matajiri wanaomfadhili ndugu Lowassa.
Mengi kumfadhili Lowassa sio kosa bali ni vizuri ikawa wazi kama anavyotanabaisha mgombea ndugu Lowassa kwamba 'simama uhesabiwe'
Kwa mwenye kufahamu vizuri uswahiba huu wa watu hawa atajuze ili tuondokane na tetesi.
Pasco njoo huku!
Sio Mengi tu bali Watanzania wote no Team Lowassa.
Unamkubali sana Lumumba?. Lumumba na Lowassa wana sifa zinazofanana kiutendaji.Hakiyanani Bila Hiyo Picha Hapo Ktk Avatar Ningekubatiza Lile Jina Langu La Kimsamiati. Hiyo Picha IMEKUOKOA Sana Mkuu Na Usiitoe Tafadhali.
Sio Mengi tu bali Watanzania wote ni Team Lowassa.
Mkuu Meningitis, kusema ukweli kuna vitu vingine huwa vinasemwa tuu kwa madhumuni ya kitu kinachoitwa 'power consolidation', yaani kwa vile Mzee Mengi is a very powerful man, mtu yoyote mwenye kutafuta uongozi for the sake of gaining the powers, lazima atafanya alliances na the powerful ones, na hata asipofanya yeye, the hao 'the powerful ones' watamfuata kutaka alliances kwa sababu in politics, you never know atakuwa nani, hivyo ukijialign mapema you are safe na hivyo ndivyo wanavyofanya wafanya biashara wote wakubwa!.Kuna tetesi zimeenea hapa Arusha kuwa yule anayeitwa kama 'tajiri mzalendo' ni mmoja wa wafanyabiashara na matajiri wanaomfadhili ndugu Lowassa.
Mengi kumfadhili lowassa sio kosa bali ni vizuri ikawa wazi kama anavyotanabaisha mgombea ndugu lowassa kwamba 'simama uhesabiwe'
Kwa mwenye kufahamu vizuri uswahiba huu wa watu hawa atajuze ili tuondokane na tetesi.
Pasco njoo huku!
Mods heshima kwenu....!
umesahau mara hii MENGI alikuwa upande gani wakati wa RICHMOND? aliigeuza ITV kuwa kama mali ya akina SITTA na ole sendeka
umeshasahau ugomvi wa fisadi Nyangumi na FISADI papa///