Hivi mdada inakuwaje hata hunukii?

Hivi mdada inakuwaje hata hunukii?

Khaaah cha mtu hakimtapishi, ndio maana sipandagi magari ya lifti mimi, kunyanyapaana tu!

hata kwenye daladala mnatupa shida.....unakuta umevaa ile top yako haina mikono,umependeza ila kikwapa sasa,huwezi amini kama cha mdada mrembo!

wengine mnakera mna zile top zenu za kubana mikono mifupi hivi basi pale kwenye kwapa pameloa! aaaghhhh so disgusting1

sasa ukutane na njema nayo inatema kama beberu, ukitoka mbagala hadi kariakoo umechoka utafikiri umesafiri dar-mtwara enzi za nyerere!!
 
Samahani sana kama nitawakera. Lakini lazima niweke wazi leo.

Suala la kunukia au kupaukwa sio wanawake tu hata wanaume, unakuta mwanamme nywele hachani hakati or hapaki mafuta, basi hata baby oil mtu inamshinda?
Jengine suala la kunukia, nchi yetu ya joto tena kali kutwa tunatiririka majasho, wako wanaume kwa siku anaoga mara moja, tena humu JF kuna mtu alitoa mada yake.

Tatu wanaume hatutumii lotion, wala body spray, tunanuka, binafsi natumia body spray lakini inafika time I can feel myself nanuka, so time ninayo toka kama asubuhi nilipata wasaa mchana naruka home fasta napiga shower. Kwa siku mara tatu inategemea au zaidi, na nikipata wasaa naenda kuoga baharini kwani maji yake ni dawa katika mwili.
Some days natumia ndimu kujisugulia mwilini kabla ya kuoga, ni dawa ya kutibu ngozi na harufu mwilini.

Sijui wewe ambae hutumii hivi vitu unakuwaje na joto la nyumbani bongo?

Kuna siku nimesafiri, kwa bahati mbaya nikapata emirate, mara nyingi hupanda Oman air kwa sababu inapita zanzibar, na wazanzibari mashallah kwa manukato full ma uddi yale mambo ya majuto 😀
Siku nilio panda emirate ilikuwa balaa wabongo wengi ndo wanayo ipenda, kabla hatujaondoka zimepigwa air freshner kwanza, harufu mtindo mmoja, dah hii ndo bongo yetu.

Mambo panda basi midas za asubuhi au jioni omba ukae na mdada kwapa wazi, utajuta, halaf pua yako iwe kwenye kwapa yake, si unajua bus linavyo jaa?

Ukweli ni kwamba elimu ya kutumia manukato watanzania hatuna, tunaoga kweli lakini it's not enough, asilimia 60 au zaidi hawatumii manukato.

Samahani tena

Tatizo la kutoa harufu kwapani haliwezi kutatuliwa kwa kutumia manukato kuficha harufu
Watu hawanywi maji ya kutosha,vyakula na etc
Mtu mwenye tatizo hili ni vyema akatafuta chanzo cha harufu kabla hajakimbilia manukato
Nilishawahi kusikia Maji ya ukoko wa ugali ukinawia kwapani husaidia kukata harufu,ngoja mwenye kujua zaidi atakuja kuongezea....
 
Hahaha, hakuna hio, limau au ndimu linakata harufu, au sabuni ya ndimu au limau, na kupauka kwa ngozi ni ukosefu wa kunywa maji kwa wingi ni kweli hakuna mjadala.
 
Kaka mito ukitoa tu wale wasionukia pia kuna tatizo la misuse ya hizo perfume
Perfume ya usiku mtu kajimwagia mchana,perfume nyingine kaliiiii mtu akipita lazima aache chafya na wengine wanaoga hizo perfume jamaniii mnatuumiza wengine
Uchaguzi mzuri wa manukato ni muhimu
 
Last edited by a moderator:
Samahani sana kama nitawakera. Lakini lazima niweke wazi leo.

Suala la kunukia au kupaukwa sio wanawake tu hata wanaume, unakuta mwanamme nywele hachani hakati or hapaki mafuta, basi hata baby oil mtu inamshinda?
Jengine suala la kunukia, nchi yetu ya joto tena kali kutwa tunatiririka majasho, wako wanaume kwa siku anaoga mara moja, tena humu JF kuna mtu alitoa mada yake.

Tatu wanaume hatutumii lotion, wala body spray, tunanuka, binafsi natumia body spray lakini inafika time I can feel myself nanuka, so time ninayo toka kama asubuhi nilipata wasaa mchana naruka home fasta napiga shower. Kwa siku mara tatu inategemea au zaidi, na nikipata wasaa naenda kuoga baharini kwani maji yake ni dawa katika mwili.
Some days natumia ndimu kujisugulia mwilini kabla ya kuoga, ni dawa ya kutibu ngozi na harufu mwilini.

Sijui wewe ambae hutumii hivi vitu unakuwaje na joto la nyumbani bongo?

Kuna siku nimesafiri, kwa bahati mbaya nikapata emirate, mara nyingi hupanda Oman air kwa sababu inapita zanzibar, na wazanzibari mashallah kwa manukato full ma uddi yale mambo ya majuto 😀
Siku nilio panda emirate ilikuwa balaa wabongo wengi ndo wanayo ipenda, kabla hatujaondoka zimepigwa air freshner kwanza, harufu mtindo mmoja, dah hii ndo bongo yetu.

Mambo panda basi midas za asubuhi au jioni omba ukae na mdada kwapa wazi, utajuta, halaf pua yako iwe kwenye kwapa yake, si unajua bus linavyo jaa?

Ukweli ni kwamba elimu ya kutumia manukato watanzania hatuna, tunaoga kweli lakini it's not enough, asilimia 60 au zaidi hawatumii manukato.

Samahani tena

kusema ukweli mimi sijakereka bali sijakuelewa.
kama wewe ni me jaribu kujichunguza kidogo maana unavi element vya um....b..ea na mi ...si..fa. yaan hapa umetoka kwenye mada unatuletea story za ndege. ck hz ndege ni km bodaboda. haya sasa tushajua class yako. ila kama ni ke si mbaya sana maana biashara matangazo kwan kunake wengi wanahis huolewa kwa status.
 
Tatu wanaume hatutumii lotion, wala body spray, tunanuka, binafsi natumia body spray lakini inafika time I can feel myself nanuka, so time ninayo toka kama asubuhi nilipata wasaa mchana naruka home fasta napiga shower.

Body spray haiondoi harufu mbaya ya mwili. Body spray inakufanya unukie vizuri kwa muda mfupi tu, basi.

Ukitaka kuondoa harufu, hususan ya kikwapa, basi tumia deodorant. Na ni vyema zaidi kutumia antiperspirant deodorant.

Siku nilio panda emirate ilikuwa balaa wabongo wengi ndo wanayo ipenda, kabla hatujaondoka zimepigwa air freshner kwanza, harufu mtindo mmoja, dah hii ndo bongo yetu.

Ukipanda Emirates, Etihad, na Qatar basi ni lazima utakumbana na vikwapa vikali sana. Na ndo maana nadhani hata wenyewe wameshastukia na kuanza utaratibu wa kupulizia air freshner.

Hata mimi mara kadhaa ambapo nimepanda hizo ndege nimeshashuhudia wakipulizia huo unyunyu kabla ndege haijaondoka.

Kuna wakati nilikaa kwenye coach [economy] na Mhindi mmoja hivi. Jamaa kikwapa chake kilikuwa kinatema balaa hadi nikaogopa huenda ningeugua kabisa maana kutoka Doha mpaka Dar ni masaa 5 na ushee.

Sasa hebu fikiria kwa masaa yote hayo unavuta hewa yenye harufu kali ya kikwapa.

Ni hatari sana.
 
mito, mie napenda kunusa vikwapa. Ili kupata stimu lazima nipitishe pua kwapani...teh!
Anyway, hobbies zinatofautiana. Wapo wadada/wakaka, ambao wakioga na kupaka mafuta tu inatosha, na hawajali jinsi mwili unavyotoa harufu, hawajali ni vipi wengine wanawahisi vipi.
Kwa hiyo hapa kuna characters tofauti, kila mtu anaona kitu flani ni priority kwake. Wengine usafi sio kitu, kupaka au kutumia vipodozi sio swala la msingi.

Mmh ulikuwaga unanusa na cha sista atoto nini, teh teh!

Ila hao wasiojipenda bora hata wangekuwa wanaishi dar lile fukuto lingeng'alisha ngozi afadhali, sasa imagine mtu yuko sehemu za baridi anavyopauka, halafu ni mdada eti huyo khaaa!!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha, hakuna hio, limau au ndimu linakata harufu, au sabuni ya ndimu au limau, na kupauka kwa ngozi ni ukosefu wa kunywa maji kwa wingi ni kweli hakuna mjadala.

Hio maji ya ukoko wa ugali bibi zetu ndio ilikua deodorant....limao pia nakubali
 
Samahani sana kama nitawakera. Lakini lazima niweke wazi leo.

Suala la kunukia au kupaukwa sio wanawake tu hata wanaume, unakuta mwanamme nywele hachani hakati or hapaki mafuta, basi hata baby oil mtu inamshinda?
Jengine suala la kunukia, nchi yetu ya joto tena kali kutwa tunatiririka majasho, wako wanaume kwa siku anaoga mara moja, tena humu JF kuna mtu alitoa mada yake.

Tatu wanaume hatutumii lotion, wala body spray, tunanuka, binafsi natumia body spray lakini inafika time I can feel myself nanuka, so time ninayo toka kama asubuhi nilipata wasaa mchana naruka home fasta napiga shower. Kwa siku mara tatu inategemea au zaidi, na nikipata wasaa naenda kuoga baharini kwani maji yake ni dawa katika mwili.
Some days natumia ndimu kujisugulia mwilini kabla ya kuoga, ni dawa ya kutibu ngozi na harufu mwilini.

Sijui wewe ambae hutumii hivi vitu unakuwaje na joto la nyumbani bongo?

Kuna siku nimesafiri, kwa bahati mbaya nikapata emirate, mara nyingi hupanda Oman air kwa sababu inapita zanzibar, na wazanzibari mashallah kwa manukato full ma uddi yale mambo ya majuto 😀
Siku nilio panda emirate ilikuwa balaa wabongo wengi ndo wanayo ipenda, kabla hatujaondoka zimepigwa air freshner kwanza, harufu mtindo mmoja, dah hii ndo bongo yetu.

Mambo panda basi midas za asubuhi au jioni omba ukae na mdada kwapa wazi, utajuta, halaf pua yako iwe kwenye kwapa yake, si unajua bus linavyo jaa?

Ukweli ni kwamba elimu ya kutumia manukato watanzania hatuna, tunaoga kweli lakini it's not enough, asilimia 60 au zaidi hawatumii manukato.

Samahani tena

na mimi naomba usichukie
unavyochangia mada jaribu kujiongeza ujue JF haipo dar tu. eti kwa joto la dar itakuwaje? inaelekea mkuu ulisoma sayans maana ungesoma arts ungepambanua akili yako na kuchambua ujue watu wanataka nini na wakat gani.
 
wengine mnakera mna zile top zenu za kubana mikono mifupi hivi basi pale kwenye kwapa pameloa! aaaghhhh so disgusting1

Ndo maana kuna underarm pads hususan kwa ajili ya nguo zinazobana sehemu za kwapa.

50pcs-Spirits-Absorb-font-b-Sweat-b-font-Underarm-font-b-Pads-b-font-deodorant-armpits.jpg
 
Za wengine rahisi kupata bwana, hutumii nguvu, alafu si unaona sikukuu ndio hizo zakaribia? Jiongeze basi.
Teh teh..Sikukuu tutakesha kanisani..Au hata hela ya sadaka hauna
 
Samahani sana kama nitawakera. Lakini lazima niweke wazi leo.

Suala la kunukia au kupaukwa sio wanawake tu hata wanaume, unakuta mwanamme nywele hachani hakati or hapaki mafuta, basi hata baby oil mtu inamshinda?
Jengine suala la kunukia, nchi yetu ya joto tena kali kutwa tunatiririka majasho, wako wanaume kwa siku anaoga mara moja, tena humu JF kuna mtu alitoa mada yake.

Tatu wanaume hatutumii lotion, wala body spray, tunanuka, binafsi natumia body spray lakini inafika time I can feel myself nanuka, so time ninayo toka kama asubuhi nilipata wasaa mchana naruka home fasta napiga shower. Kwa siku mara tatu inategemea au zaidi, na nikipata wasaa naenda kuoga baharini kwani maji yake ni dawa katika mwili.
Some days natumia ndimu kujisugulia mwilini kabla ya kuoga, ni dawa ya kutibu ngozi na harufu mwilini.

Sijui wewe ambae hutumii hivi vitu unakuwaje na joto la nyumbani bongo?

Kuna siku nimesafiri, kwa bahati mbaya nikapata emirate, mara nyingi hupanda Oman air kwa sababu inapita zanzibar, na wazanzibari mashallah kwa manukato full ma uddi yale mambo ya majuto 😀
Siku nilio panda emirate ilikuwa balaa wabongo wengi ndo wanayo ipenda, kabla hatujaondoka zimepigwa air freshner kwanza, harufu mtindo mmoja, dah hii ndo bongo yetu.

Mambo panda basi midas za asubuhi au jioni omba ukae na mdada kwapa wazi, utajuta, halaf pua yako iwe kwenye kwapa yake, si unajua bus linavyo jaa?

Ukweli ni kwamba elimu ya kutumia manukato watanzania hatuna, tunaoga kweli lakini it's not enough, asilimia 60 au zaidi hawatumii manukato.

Samahani tena

Basi sawa yakhee! Ukipanda tena emirate uniletee namie marashi angalau ninukie japo kidogo ati
 
hata kwenye daladala mnatupa shida.....unakuta umevaa ile top yako haina mikono,umependeza ila kikwapa sasa,huwezi amini kama cha mdada mrembo!

wengine mnakera mna zile top zenu za kubana mikono mifupi hivi basi pale kwenye kwapa pameloa! aaaghhhh so disgusting1

sasa ukutane na njema nayo inatema kama beberu, ukitoka mbagala hadi kariakoo umechoka utafikiri umesafiri dar-mtwara enzi za nyerere!!

Si ushuke upande nyingine? Kwani daladala ni hiyo tu? Kwani kuloa tunapenda? Mtuwache na makwapa yetu
 
kusema ukweli mimi sijakereka bali sijakuelewa.
kama wewe ni me jaribu kujichunguza kidogo maana unavi element vya um....b..ea na mi ...si..fa. yaan hapa umetoka kwenye mada unatuletea story za ndege. ck hz ndege ni km bodaboda. haya sasa tushajua class yako. ila kama ni ke si mbaya sana maana biashara matangazo kwan kunake wengi wanahis huolewa kwa status.

Usiende huko yatakuwa mengine
 
Wala sijashangaa haya makavu, nashangaa tu ulivozama kwenye vyumba vya wadada teh huwa umekaa kaa kitakatifu fulani ujue mmh haya bana

Hicho kipengele mie nilikichunia tu, mito wewe hizo tabia za kuimgia chumbani kwa wadada umeanza lini?

Duh umenitilia mashaka sana inabidi tu nifunguke tena kidogo, manake kuna mmoja hapo juu huyu janescom kanichana live hadi nikaona nimpotezee tu coz naye alichenga mawazo kama yenu. Halafu nahisi hata Blue G naye ana mawazo kama yenu ndo maana kaanza kwa kushangaa!!

Haya jamani, Kifupi ni ndg yangu. Ila sasa msinichokonoe zaidi basi isije ikawa soo, ndo maana nilitoa kabisa angalizo kwenye mada, nilijua watu watahisi vya kuhisi
 
Last edited by a moderator:
Wala sijashangaa haya makavu, nashangaa tu ulivozama kwenye vyumba vya wadada teh huwa umekaa kaa kitakatifu fulani ujue mmh haya bana

Hahahahahah daah yani wewe my kaka ndo wakuninanga hivyo mimi? Undugu wetu umeanza kushake

Hahaaaaaa akyani umenichekesha sana ujue!!
Sasa mwenyewe nimekuita weeeee hutokei, ndo maana nikashikwa na hasira, loh! Ila kwa vile umekuja ngoja nikaedit post basi usijali dadaangu, teh teh!!
 
Itabidi niipitie upya ile top ten ya hazband material kuna watu hawatakiwi lol

Duh ndo nimepwaya hivi hadi nimeshushwa kiwango namna hii??!! natolewa kwenye top ten hivi hivi, hapana sikubali nakata rufaa aisee!! Ila sawa tu bwana, lakini ujue namimi nakutoa kwenye top 3 ya wanaojua kutunza hubbies wao, teh teh
 
Hahaaaaaa akyani umenichekesha sana ujue!!
Sasa mwenyewe nimekuita weeeee hutokei, ndo maana nikashikwa na hasira, loh! Ila kwa vile umekuja ngoja nikaedit post basi usijali dadaangu, teh teh!!
Huo msamaha uambatane na deodorant kwa kweli. Haha umenidiss hadi nimecheka
 
hata kwenye daladala mnatupa shida.....unakuta umevaa ile top yako haina mikono,umependeza ila kikwapa sasa,huwezi amini kama cha mdada mrembo!

wengine mnakera mna zile top zenu za kubana mikono mifupi hivi basi pale kwenye kwapa pameloa! aaaghhhh so disgusting1

sasa ukutane na njema nayo inatema kama beberu, ukitoka mbagala hadi kariakoo umechoka utafikiri umesafiri dar-mtwara enzi za nyerere!!

We mkuu umenichekesha sana, loh!!!
 
Back
Top Bottom