Hivi mdada inakuwaje hata hunukii?

Hivi mdada inakuwaje hata hunukii?

Kaka mito ukitoa tu wale wasionukia pia kuna tatizo la misuse ya hizo perfume
Perfume ya usiku mtu kajimwagia mchana,perfume nyingine kaliiiii mtu akipita lazima aache chafya na wengine wanaoga hizo perfume jamaniii mnatuumiza wengine
Uchaguzi mzuri wa manukato ni muhimu


Yap yap yapa umenikumbusha hapo kwenye pafyumu kali, kuna watu sijui wanatumia zile za maiti!! manake akikupita hiyo harufu yake hadi kichwa mi kinaumaga plus chafya
Ila bei pia inachangia, manake hizi zenye harufu kali ni bei cheee sana, watu wanazikimbilia
 
Ulivyoninanga walahi siuzi natumia, ila ikiisha ujue naomba nyingine.

Hahaaaa ila kweli leo nimewaweza, poleni bana siku hafanani, kila siku na mood yake
 
Basi sawa yakhee! Ukipanda tena emirate uniletee namie marashi angalau ninukie japo kidogo ati

Usijali, mbona yako tele jaribu kuulizia perfume za haliudi or za UAE hazina sprit kwa wanawake ni nzuri zaidi kuliko manukato ya kizungu. 😀😀
 
hata kwenye daladala mnatupa shida.....unakuta umevaa ile top yako haina mikono,umependeza ila kikwapa sasa,huwezi amini kama cha mdada mrembo!

wengine mnakera mna zile top zenu za kubana mikono mifupi hivi basi pale kwenye kwapa pameloa! aaaghhhh so disgusting1

sasa ukutane na njema nayo inatema kama beberu, ukitoka mbagala hadi kariakoo umechoka utafikiri umesafiri dar-mtwara enzi za nyerere!!

Haha umeuwa
 
Kaka mwenyewe wewe majukumu dadi kooni, kaka mie sina dressing table, ya kazi gani sasa na sina vya kuweka? Kopo langu la baby care linanitosha kabisa, sasa hilo tu ndilo la kununulia dressing table? Hiyo hela ya dressing table ni bora nikamuongezee dogo kwenye ada.

Uncle magu kafuta ada
 
Usijali, mbona yako tele jaribu kuulizia perfume za haliudi or za UAE hazina sprit kwa wanawake ni nzuri zaidi kuliko manukato ya kizungu. 😀😀

Mimi nataka ya kupewa ndio tamu bana. We ukienda uniletee
 
Back
Top Bottom