mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,031
Teh yani kuanzia leo nimeanza kutokuwa "predictable". Sivai tena charanga na chachacha...Yani wewe loohHahaaa sista au we unapenda kuwa predictable? basi sawa kama hupendi 'nitoke vipi'
Ila wanaume wengi wanapenda wadada mkitoleza, ingawa sisi si kivile na siyo muhimu wala
Duhh!!! Itabidi nikutafute unipe somo la mikato ya kitaa......ila hivi vitu vya mchina bana tatizo havichelewi kukuabisha yaani unaweza kuwa sehemu ya maana Mara kitu kikafumuka P yote ikashuka ,bora Mimi niliendelee na vitu durable nyie endeleeni kunisema tu na pair mbili zangu hhhahhahanan na nilivyi bonge la mtu mchina hachelewi kunitenda
everlenk, luv u sana kipenzi. Nimekuombea sana leo, ukitunze tu kwa ajili yangu manake hicho ni kiunganishi chetu. atoto amenitongoza sana lakini niko imara, ndio maana leo nikakuombea sana yani. Saivi hata sisy darling Heaven Sent simuamini sana...
everlenk, luv u sana kipenzi. Nimekuombea sana leo, ukitunze tu kwa ajili yangu manake hicho ni kiunganishi chetu. atoto amenitongoza sana lakini niko imara, ndio maana leo nikakuombea sana yani. Saivi hata sisy darling Heaven Sent simuamini sana...
kila mmoja na maisha yake
vp mkuu ww unanukia?
Na wewe hunukii sista? halafu una viatu pea mbili,loh
Swahiba nilikuwa bize bize ndio naiona leo.
Mm nanukia balaa ukinikumbatia tuu kutwa nzima utakuwa unanukia
Sijaiona sura yake dukani kwangu..Nadhani hizo zitakuwa hila tu..Uwe unapita bana..Nimeshusha mzigo mpya kutoka japan..Hizo ukivaa unaweza hata kumsahau huyo kijana..Mana zinatoa raha hatarijana sumbai kaniletea dazen vip alinunua kwako? Au ni janja zake ili nisije dukan kwako?
Hivi wewe unapaka poda ?
kama unapaka kwa nini upake wakati mimi sipaki ?
kama hupaki je kwa nini hupaki wakati Ommy dimpoz anapaka hadi wanja ??
Nataka jibu