i can imagine, tena we mzee wa usafi classic
Ni atizo..Mbaya zaidi ukiwa unapenda pesa za watu wengineKupenda pesa tangu lini kukawa tatizo?
.
Kuna kipindi nilifikiria kuanzisha kampeni ya kutokomeza vikwapa.
ukimuona mtu anahela na juu mpaka chini, nje mpaka ndani haeleweki ujue ni mchafu kupindukia!
wengine tunanukia maziwa tu, hizo perfume tunawaachia wazungu.
Kila kitu kizuri cha wazungu
Ni atizo..Mbaya zaidi ukiwa unapenda pesa za watu wengine
Nikaanzisha thread badala ya kusema watu waangalie nini kwenye makopo ukatokomea
Yale madini niliyoyamwaga mle hukuyaona?
Mwenzio atoto alinishukuru kwa kumuongezea ufahamu.
Nitarudi hata hivyo kuendelea kuelimisha.
Za wengine rahisi kupata bwana, hutumii nguvu, alafu si unaona sikukuu ndio hizo zakaribia? Jiongeze basi.
Sasa babi ile kitu ya digirii naipata wapi kabla hujaanza kuninanga?
Usafi wa mwili ni jambo ninalolitilia maanani sana.
Mpaka wakati mwingine huwa nadhani labda napitiliza.
Na kwa Tanzania usafi wa mwili au ukosefu wake ni janga la kitaifa.
Watu wengi mno hunuka vikwapa lakini inavyoelekea ni wachache ambao hukerwa na hiyo harufu.
Kuna kipindi nilifikiria kuanzisha kampeni ya kutokomeza vikwapa.
Unataka Dry Sprays kama hizi?
![]()
Au unapendelea sticks kama hizi?
![]()
Zote zina MOTIONSENSE technology.
Dah mito kakaangu leo umeniacha hoi
Ila acha niseme haya yangu unajua swala la kujipenda ni hobby kuna mtu bila kujiangalia yukoje ananukiaje hata dukani humtumi na yupo mtu anaoga anafua nguo freshi lakini kumkuta anajipaka sijui makeup au anapangilia nguo azivaeje ameshisheje utasubiri sana na unakuta ana kila kitu kwenye dressing na akiona mwenzie kapendeza na ananukia anatamani sana ila ndo hivyo hobby imempita kushoto
Wengine wana aleji na manukato eiza kwa sababu ya mimba au ndo jinsi tu alivyo sasa wa namna hiyo hata ufanyeje hatatumia manukato
Na wengine na rough ndo asili yao hata ufanyeje hata wawe na pesa kiasi gani
Na mimi kakaangu mito ndo walewale ingia rum kwangu nina kila aina ya kiatu nina kila aina ya kipodozi niulize navitumiaga wapi utashangaa mara moja moja mnooo vinginine huwa vinaexpire natupa tu vingine naishiaga kuvigawa basi
Naomba sasa usininange kwa kusema ukweli banah
Yangu ni hayo kaka mito