Kwani yeye ni shimo la choo..?
hata mimi niko hivup so sioni cha kushangaa
Dada B probably depressed.
Dada A probably overwhelmed
Hahaaa kumbe nami leo nimetoa makavu live eeh, ila unitetee sista wakinisuta
Mito hivi ni ke tu nso wanatakiwa waseme eeeeeh. nimejisahau oooops
eeeenh hiyo dada haipo hapo!!! kwenye avatar ni shemeji yako tu
Samahani sana kama nitawakera. Lakini lazima niweke wazi leo.
Suala la kunukia au kupaukwa sio wanawake tu hata wanaume, unakuta mwanamme nywele hachani hakati or hapaki mafuta, basi hata baby oil mtu inamshinda?
Jengine suala la kunukia, nchi yetu ya joto tena kali kutwa tunatiririka majasho, wako wanaume kwa siku anaoga mara moja, tena humu JF kuna mtu alitoa mada yake.
Tatu wanaume hatutumii lotion, wala body spray, tunanuka, binafsi natumia body spray lakini inafika time I can feel myself nanuka, so time ninayo toka kama asubuhi nilipata wasaa mchana naruka home fasta napiga shower. Kwa siku mara tatu inategemea au zaidi, na nikipata wasaa naenda kuoga baharini kwani maji yake ni dawa katika mwili.
Some days natumia ndimu kujisugulia mwilini kabla ya kuoga, ni dawa ya kutibu ngozi na harufu mwilini.
Sijui wewe ambae hutumii hivi vitu unakuwaje na joto la nyumbani bongo?
Kuna siku nimesafiri, kwa bahati mbaya nikapata emirate, mara nyingi hupanda Oman air kwa sababu inapita zanzibar, na wazanzibari mashallah kwa manukato full ma uddi yale mambo ya majuto 😀
Siku nilio panda emirate ilikuwa balaa wabongo wengi ndo wanayo ipenda, kabla hatujaondoka zimepigwa air freshner kwanza, harufu mtindo mmoja, dah hii ndo bongo yetu.
Mambo panda basi midas za asubuhi au jioni omba ukae na mdada kwapa wazi, utajuta, halaf pua yako iwe kwenye kwapa yake, si unajua bus linavyo jaa?
Ukweli ni kwamba elimu ya kutumia manukato watanzania hatuna, tunaoga kweli lakini it's not enough, asilimia 60 au zaidi hawatumii manukato.
Samahani tena