Hivi mdada inakuwaje hata hunukii?

Hivi mdada inakuwaje hata hunukii?

Mhhhhhh, wanawake kazi ipo. Wakijipodoa utasikia oooh ukikutana nae kaamuka utamkimbia, wakikaa natural wachafu. Eeeee nyie viumbe tuwaeleweje.

Kwenye mistari yako sijaona umeandika kama wananuka isipokuwa inaonekana hawapendi urembo. Na wewe ukaanza kufuatilia mpaka chumba cha mtu na viatu kama si umbea ni nini? Kaa utulie kaka.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mweeeh! Kingreza sasa nacho shughuli, mie nataka ambayo ni komesha ya kikwapa maana kaka yangu mito kaninanga hadharani leo.

Basi nadhani hizo sprays ndo zitakufaa zaidi.

Lakini, ili kuhakikisha kuwa hakuna hata kijasho kimoja kitakachopenyeza na kulowanisha ki top chako, utahitaji pia armpit pads kama hiyo hapo chini kwenye picha.

w4900lrg.png
 
Mweeeh! Kingreza sasa nacho shughuli, mie nataka ambayo ni komesha ya kikwapa maana kaka yangu mito kaninanga hadharani leo.

Hahaaaa leo nimewatolewa uvivu, loh!!

Halafu mfanyakazi wako Heaven Sent hatukii nini, mbona hatokezi hadharani teh teh!!
 
Last edited by a moderator:
Papuchi ikiwa na kaharufu kdg sio mbaya hakuna sababu ya pafumu
 
Haha kujipenda ni kipaji haihusiani na kipato kabisa.....
 
Halafu nilitaka nikumention pamoja na brenda18 ikanigomea bana, manake nyie bana mnaniachaga hoi sometimes

Kwa B naweza kukubaliana na wewe

Ila kwa A sidhani, coz hana busy life kabisa

Hahaha....ningechangia tu bila hata kuitwa my kaka
 
Last edited by a moderator:
Usafi wa mwili ni jambo ninalolitilia maanani sana.

Mpaka wakati mwingine huwa nadhani labda napitiliza.

Na kwa Tanzania usafi wa mwili au ukosefu wake ni janga la kitaifa.

Watu wengi mno hunuka vikwapa lakini inavyoelekea ni wachache ambao hukerwa na hiyo harufu.

Kuna kipindi nilifikiria kuanzisha kampeni ya kutokomeza vikwapa.

Hahah,babu katika ubora wako wa kujielezea....
 
Basi nadhani hizo sprays ndo zitakufaa zaidi.

Lakini, ili kuhakikisha kuwa hakuna hata kijasho kimoja kitakachopenyeza na kulowanisha ki top chako, utahitaji pia armpit pads kama hiyo hapo chini kwenye picha.

w4900lrg.png

Mweeeh!! Hadi vikwapa vina pedi siku hizi!!
 
Kuna mtu akiingia ofisini au kwenye gari lazima ufungue madirisha.....
 
Eeh mito Kumbe.....

Hahaaaa leo kila mdada ananishangaa nilivyowatolea uvivu

Halafu sijui ni kwanini nimekumbuka siku ileeeee, ulivyotowaga honyo serious kwa ke kukaaa mbali na hubby wako, ndo hadi nikajua uko married teh teh
 
Hulka ya mtu awe na hela acwe nayo habadliki.hata akinunua nguo atavaa bila hta kuznyoosha
 
Hahaaaa leo nimewatolewa uvivu, loh!!

Halafu mfanyakazi wako Heaven Sent hatukii nini, mbona hatokezi hadharani teh teh!!
Hahahahahah daah yani wewe my kaka ndo wakuninanga hivyo mimi? Undugu wetu umeanza kushake
 
Last edited by a moderator:
mito, mie napenda kunusa vikwapa. Ili kupata stimu lazima nipitishe pua kwapani...teh!
Anyway, hobbies zinatofautiana. Wapo wadada/wakaka, ambao wakioga na kupaka mafuta tu inatosha, na hawajali jinsi mwili unavyotoa harufu, hawajali ni vipi wengine wanawahisi vipi.
Kwa hiyo hapa kuna characters tofauti, kila mtu anaona kitu flani ni priority kwake. Wengine usafi sio kitu, kupaka au kutumia vipodozi sio swala la msingi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom