Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Haya ni pm contact zako.
Kwa hilo tu umepata
Teh ukishanunua uniambie nikupe
Haya ni pm contact zako.
Kwa hilo tu umepata
Teh ukishanunua uniambie nikupe
Si ushuke upande nyingine? Kwani daladala ni hiyo tu? Kwani kuloa tunapenda? Mtuwache na makwapa yetu
Si ushuke upande nyingine? Kwani daladala ni hiyo tu? Kwani kuloa tunapenda? Mtuwache na makwapa yetu
Usiende huko yatakuwa mengine
Duh ndo nimepwaya hivi hadi nimeshushwa kiwango namna hii??!! natolewa kwenye top ten hivi hivi, hapana sikubali nakata rufaa aisee!! Ila sawa tu bwana, lakini ujue namimi nakutoa kwenye top 3 ya wanaojua kutunza hubbies wao, teh teh
Ukiona povu hivi ujue sindano imeingia penyewe
Na hayo ndio majibu yenu.......
Hivi wewe unapaka poda ?
kama unapaka kwa nini upake wakati mimi sipaki ?
kama hupaki je kwa nini hupaki wakati Ommy dimpoz anapaka hadi wanja ??
Nataka jibu
Mito kulikoni mpaka mapovu yanakutoka sana leo umekereka na nin sis kunuka
hivi unajua kuwa mwanadamu ni mavumbi na hayo mavumbi ndo yanayonukaa