Hivi mdada inakuwaje hata hunukii?

Hivi mdada inakuwaje hata hunukii?

Naanzaje kunikia dada wakati majukumu yamenikaba koo.

Majukumu gani hayo kwa mfano hadi ushindwe kujipenda? sitaki tu kuweka full detail lakini ukweli ni kwamba hana majukumu ya sijui ndugu kumtegemea au nini, labda majumu yake binafsi lakini siyo ya misaada ya ndg, jamaa na marafiki
 
Hahaaaaa umenichekesha balaaa, kwahiyo na wewe hunukii dadaangu?

Ila tuache utani sista, we kweli hujawahi kutana na wadada wa hivyo? hebu recall vizuri huko mashuleni sijui chuo, huko mabwenini

Hapo umeniongelea mimi mwenyewe sio wala kukutana nao, sasa ndio nawaza hivi kwanini hamtuachi tupumue?
 
ukimuona mtu anahela na juu mpaka chini, nje mpaka ndani haeleweki ujue ni mchafu kupindukia!
 
Hapo umeniongelea mimi mwenyewe sio wala kukutana nao, sasa ndio nawaza hivi kwanini hamtuachi tupumue?

Hahaaa we mbona nina uhakika unanukia dadaangu, dressing table yako naijua ilivyosheheni vipodozi, halafu utakosaje hela ya pafyumu wakati kakako tupo!!??
 
Mkuu sijamwacha dada yako..Tumeachana..Mapenzi yetu uwa ya mkataba..Ila yuko poa..Kujipenda kwake sio adhabu..Tatizo lake kubwa ni kupenda pesa
 
Hela zenyewe kila siku wanapeana kicheni pati humu wasitupatie, wakati wanajua kabisaaa mwanamke gharama, kila kiungo gharama, tukijinyima maisha yaende wanatunanga tena!! Jamani nyie wanaume mnataka nini?

Kupata mwanaume anaeelewa umuhimu wa mwanamke kutunzwa siku hizi!

Kama huyo dada Hana uwezo usitegemee dressing table na kabati lake itafanana na wadada wenye uwezo au wenye watuzaji.

Waacheni wadada wa watu, vihela vyao wanaZiinvest kwingine.
 
Mkuu sijamwacha dada yako..Tumeachana..Mapenzi yetu uwa ya mkataba..Ila yuko poa..Kujipenda kwake sio adhabu..Tatizo lake kubwa ni kupenda pesa

Hahaaaa

cc atoto
 
Last edited by a moderator:
, we kweli hujawahi kutana na wadada wa hivyo? hebu recall vizuri huko mashuleni sijui chuo, huko mabwenini

Wengi wa hivyo hawana uwezo. 5000 ya spray unaona ndogo ye itabidi kwa wiki moja aSacrifice lunch kupata spray.

Wengine hawafundishwi na mama zao. wanajifunzia usafi kwa wenzao shule, chuo.

UsiUnderestimate mchango wa msongo wa mawazo katika hili.
 
Mkuu sijamwacha dada yako..Tumeachana..Mapenzi yetu uwa ya mkataba..Ila yuko poa..Kujipenda kwake sio adhabu..Tatizo lake kubwa ni kupenda pesa

Kupenda pesa tangu lini kukawa tatizo?
 
Wengi wa hivyo hawana uwezo. 5000 ya spray unaona ndogo ye itabidi kwa wiki moja aSacrifice lunch kupata spray.

Wengine hawafundishwi na mama zao. wanajifunzia usafi kwa wenzao shule, chuo.

UsiUnderestimate mchango wa msongo wa mawazo katika hili.

I agree with you hapo kwa red
 
Hahaaa we mbona nina uhakika unanukia dadaangu, dressing table yako naijua ilivyosheheni vipodozi, halafu utakosaje hela ya pafyumu wakati kakako tupo!!??

Kaka mwenyewe wewe majukumu dadi kooni, kaka mie sina dressing table, ya kazi gani sasa na sina vya kuweka? Kopo langu la baby care linanitosha kabisa, sasa hilo tu ndilo la kununulia dressing table? Hiyo hela ya dressing table ni bora nikamuongezee dogo kwenye ada.
 
mito huyo dada B ujapata kujua idadi ya viwalo vyake vya ndani..Nahisi uko ndo balaa zaidi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom