everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,037
Duh!!! Mimi sijaelewa shida ni kunukia shida ni uchafu ??? Wengine hawatumii perfume sababu wana allergy Nazo zinawadhuru.
Kuwa simple ni moja ya maamuzi pia ya mtu binafsi,kama mtu ni msafi usimplicity wake unakera nini?
Pili kuwa na vitu vingi kwenye kabati ni utumiaji mbaya wa fedha ,kuna haja gani ya kuwa na pea 20 za viatu wakati kila siku kuna pea mbili tu ndo huwa unazivaa zaidi?, kuna haja gani ya kuwa na pochi 10 hata kirasilimali chochote cha maana huna hadi bank account inasoma zero?, ni bora kuwa simple na kupendeza kisha ile hela ya kununua nguo,viatu na pochi kila siku mtu akajiwekea akiba ambayo kesho itamfanya aonekane mtu mbele ya watu.
Wanaume Hamna jema tukijiremba mnajiremba mtafikiri jini , tukiwa simple mdada ni mchafu na kwanini hanukii ? Job true true.....