Hahaaa huko kwenye durable mkuu kwa mtazamo wangu utapoteza hela yako bure, wanaongalia durability si wengi na si waongeaji kama sisi loh! kitaa tunaangalia unatokaje leo? halafu tunajiuliza na jana ulitokaje, ahaaa akyanani utafikiri tunakupatia hela!! We nenda tu na upepo mkuu, kwani ukinunua mchina wako kwa elfu10 ukavaa mara kadhaa tu 'kuosha kazini' then unanunua kingine cha wakati huo unapata hasara ngani mkuu.
Then ukawa na pafyumu zako 3 hivi matata, leo unapuliza hii, kesho ile, bado na ile nyingine nikusubiri keshokutwa, kwenye matukio kama kanisani sijui harusi unapuliza mchanganyo wa 2, bado mchanganyo wa zote 3, weeeee lazima uoshe kitaaa!!
cc
atoto,
Heaven Sent