Hivi mdada inakuwaje hata hunukii?

Hivi mdada inakuwaje hata hunukii?

Baba, wa douta mtumishi...

Sasa si unanipunguzia wateja....
We wape vyupi bure
Mteja wangu mkubwa cute b mbona upo nae..Au hakutoshi..Hata ile aliyovaa jana kachukua kwangu
 
Last edited by a moderator:
ulisema utakuwa unatoa game kwa ratiba..Sasa mambo gani hayo

Teh teh..Hamna kitu..Nimeona maisha ya kipendwa ni mazuri zaidi

Sasa wewe unataka game kila siku kama chakula huchoki??
Mmmh kweli maombi yamefanya kazi, ila si bure limekukuta la kukukuta hukoo umeamua ujirudi maana huna jinsi!!
 
Sasa wewe unataka game kila siku kama chakula huchoki??
Mmmh kweli maombi yamefanya kazi, ila si bure limekukuta la kukukuta hukoo umeamua ujirudi maana huna jinsi!!
Teh..Siku ntakusimulia lililonikuta..Kuna mtu aliwahi kusema Asilimia kubwa ya watu wanaokoka baada ya kukutwa na majanga..Kidogo nimeanza kuamini..
 
Teh..Siku ntakusimulia lililonikuta..Kuna mtu aliwahi kusema Asilimia kubwa ya watu wanaokoka baada ya kukutwa na majanga..Kidogo nimeanza kuamini..

Afadhali, and i hope na uchu wa game utakuwa umekuisha nami nipumue khaaaaah!!
 
Ewaaaaa kama mnanukia kama yule aliyepewa lift na Nyani Ngabu kwa kweli hakuna tatizo, tena nawazungushaaaa mwendo wa bibi harusi ili mkae kae sana mbakishe manukato garini kwangu. Nina imani mtakuwa mmepigilia na zile pedi za kwapa kabisa, loh!

Kwani watakuwa wamevaa vi top vya kubana?

4ffc7ee42d792.jpeg
 
Mhhh!!!! Hiyo ndo imezidi aisee

Uwiiiiii khaaah sitaki bwana, nenda kwanza hadi ipungue, maana utanikondesha tena, mwenzio now na kamwili kamerudi, naanza kunawili unataka unifubaishe tena!!
 
Uwiiiiii khaaah sitaki bwana, nenda kwanza hadi ipungue, maana utanikondesha tena, mwenzio now na kamwili kamerudi, naanza kunawili unataka unifubaishe tena!!
Yani unakataa kimahaba hivyo halafu unategemea nikuache..Jiandae tu kwa kweli...btw huwezi kufubaa..Ndo utazidi kunawili
 
Sista atoto na Heaven Sent mkuje huku, mnaulizwa na Nyani Ngabu hivi na nyie unalowaga hivyo kwapa? msomeni wenyewe hapo juu msijekusema narusha tena madongo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom