Hivi mdada inakuwaje hata hunukii?

Hivi mdada inakuwaje hata hunukii?

Last edited by a moderator:
Amaaaa !!!! Hili lilinipita na umbea wangu wote sijui kma wewe my dada Heaven Sent ndo mume wa my best friend Paulo Sergio De Souz.......????......loh!!! Tuambiane buana isije kuwa popote ulipo tupo.....Na Eli79 wangu umempeleka wapi?
Teh usinichafue bana, brod darlin Eli79 a.k.a broo "ptuuuuu" a.k.a broo "close your legs" ni broo wangu wa kiroho. Mumeo anatuchambaje siku hizi

Afu unatafuta ugomvi ujue, me ndo "Mume"?
 
Last edited by a moderator:
Jamani kipenzi mke mwenza aka muke ya shemeji sijakutukana Jamani mwambie Heaven Sent awe anakufundisha mdogo mdogo maana soon tutakupatia kaka yetu Mmoja hivi.......
Teh hapana kwa kweli, sitotaka kaka yetu aje kujuta baadaye
 
Last edited by a moderator:
Teh usinichafue bana, brod darlin Eli79 a.k.a broo "ptuuuuu" a.k.a broo "close your legs" ni broo wangu wa kiroho. Mumeo anatuchambaje siku hizi

Afu unatafuta ugomvi ujue, me ndo "Mume"?

Weweee!!! Mbona hajaniita nione, huyu mume wangu kaanza lini kuwachamba mashemeji zake ? Eli79 Anataka tamu nini ? Mwambie ashindwe na kilegeee milele ila kisimame kwangu tu.....
 
Ayaaaaa sikuona ngoja nikaedit eti mume mweeee!!!!
 
Last edited by a moderator:
Weweee!!! Mbona hajaniita nione, huyu mume wangu kaanza lini kuwachamba mashemeji zake ? Eli79 Anataka tamu nini ? Mwambie ashindwe na kilegeee milele ila kisimame kwangu tu.....
Hahaha ntakuwa nakumention uone mumeo anavyotupa makavu. Siku hizi kwenye comments zake naanza tu kutafuta neno "ptuuu" kabla ya yote teh
 
Last edited by a moderator:
Hahaha ntakuwa nakumention uone mumeo anavyotupa makavu. Siku hizi kwenye comments zake naanza tu kutafuta neno "ptuuu" kabla ya yote teh

Basi atakuwa na kiburudisho kipya humu ndani sasa anavunga si unajua tena mume wetu kila siku kujaribu masufuria mapya ila mwiko ule ule..lol
 
Basi atakuwa na kiburudisho kipya humu ndani sasa anavunga si unajua tena mume wetu kila siku kujaribu masufuria mapya ila mwiko ule ule..lol
Hamna hajaanza kuchepuka bado, ila kuna muda tulimfuma na atoto anamkonyeza mdada fulani hivi. Tunaendelea kufatilia
 
Last edited by a moderator:
Hamna hajaanza kuchepuka bado, ila kuna muda tulimfuma na atoto anamkonyeza mdada fulani hivi. Tunaendelea kufatilia

Heheheeeee mniite na mimi kwa kweli......au siku hizi sinukii ? mito atakuja kutupopoa na uzi wake tumeuchakachua ......
 
Last edited by a moderator:
Heheheeeee mniite na mimi kwa kweli......au siku hizi sinukii ? mito atakuja kutupopoa na uzi wake tumeuchakachua ......
Hahaha utakuwa hunukii wewe na viatu vyako pair 2[emoji23] [emoji23] [emoji23].
 
Last edited by a moderator:
usafi sio kunukia tu sema shetani ameuteka ulimwengu na mambo ya kisasa hata nguo ni utashi wa mtu wao ni wasomi wanajua wanachokifanya ww tafuta wa kunikia hata unayemtaka
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mama ndio hivyo, Heaven Sent kaopoa mzungu, ila sijui wameachana hata haijulikani, teh teh teh(km nakuona unachotyp)
Hamtuwashi hamtuzimi,
Mwaona donge la nini,
Kama mnaweza pandeni juu mkazibe,
Wanadamu, walimwengu kama yetu yawakera,
Mbona mtakereka sana, na mtakereka sana
Asivyopenda maendeleo yangu huyo si atanifundisha matusi sasa!!

Kama vile i knew!!
Khaaa usije ukatuharibia watoto sie, wanyaki tuna genes hatarious
 
Last edited by a moderator:
Hamtuwashi hamtuzimi,
Mwaona donge la nini,
Kama mnaweza pandeni juu mkazibe,
Wanadamu, walimwengu kama yetu yawakera,
Mbona mtakereka sana, na mtakereka sana

Khaaa usije ukatuharibia watoto sie, wanyaki tuna genes hatarious

Mmmmh! Hivi baba yako ndio kagoma kabisaaa kukuhamisha uswahilini?
 
Back
Top Bottom