Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,944
- 183,401
Marahaba kipenzi mke mwenza....
Nakumisigi jamani hivi hujui kweli au ndio kiburi cha uke wenza?
Marahaba kipenzi mke mwenza....
Hebu ntake radhi tafadhali....
Ahaa haaa.....
Kuanzia leo ataishi kwa pair mbili tuu, no perfume no sijui malosheni.
Msiniletee kesi tuuu. Natekeleza ushauri wako
Nakumisigi jamani hivi hujui kweli au ndio kiburi cha uke wenza?
MMU nilikimbia mwenzio ndiyo maana sikuoni! !! Nimekumiss zaidi .....
Kuna mtu anaitwa Paulo Sergio De Souz yuko wapi? Nilisikia ni mumeo Heaven Sent huuuyu kijana huwa napenda michango yake kwenye mada kama hizi ingawa siku hizi amekuwa mlengo wa kushoto mimi kulia.
Hahahaaaaaa! Na bora tu ukimbie kwakweli, maana ni imbombo ngafu.
"You can pay for school, but you can't buy class". Hence some brothas resort to cover the face, blow the base, and take a walk.
Haha. Wacha hizi mambo bana. Kuna siku nilisema kitu, thick mindeds wakaelewa walivyoelewa wao, wakanishushia machungu yao yote. Nimejifunza sasa.Kidhuzungu kigumu mweeeee!!!!! Naomba tafsiri.....m
Haha. Wacha hizi mambo bana. Kuna siku nilisema kitu, thick mindeds wakaelewa walivyoelewa wao, wakanishushia machungu yao yote. Nimejifunza sasa.
Upo lakini?
Acha hizo nipe tafsiri bana ......
Nipo tu jua Kali, joto Kali hasira tu.....
Imbombo ngafu naloli nkamu gwangu. .......
"You can pay for school, but you can't buy class". Hence some brothas resort to cover the face, blow the base, and take a walk.
Mh tatizo kwenye course hawataji maneno kama hayo ya paulo eti[emoji23] [emoji23]Shikamoo shemeji sijui mkwe hata sielewi, sasa hapo ndio umemaanisha nini jamani? Heaven Sent we si ulianza kiinglish kozi kabla yangu?
Mh tatizo kwenye course hawataji maneno kama hayo ya paulo eti[emoji23] [emoji23]
Me mwenyewe nimechoka kushinda na dictionary muda woteHivi huyu mumeo haya maneno anatoaga wapi? Mwambie sio vizuri kukomoana!