Hivi mdada inakuwaje hata hunukii?

Hivi mdada inakuwaje hata hunukii?

Mhhhh??huo ushem toka lini?tulia binti au nikusemee kwa shemeji yako?hv anaitwa nani vile?

Hahahaaaaa! Umefufukia wapi mpenzi? Nimemmiss shem darling wangu Kaizer acha tu, hujamuona humu duniani?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa! Umefufukia wapi mpenzi? Nimemmiss shem darling wangu Kaizer acha tu, hujamuona humu duniani?

Nilikuwa nimeishamsahau hata jina si unajua mambo ya ndoa changa?ndio yaliyonibana
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh teeeeh!! Hutaki lift tena jamani? Hata la kaka mito?

Eeh sasa la My kaka si Napiga hadi na honi sasa. Ila make sure unanukia usijeshangaa watu wanafungua vioo vya magari yao

Ewaaaaa kama mnanukia kama yule aliyepewa lift na Nyani Ngabu kwa kweli hakuna tatizo, tena nawazungushaaaa mwendo wa bibi harusi ili mkae kae sana mbakishe manukato garini kwangu. Nina imani mtakuwa mmepigilia na zile pedi za kwapa kabisa, loh!
 
Yani hizo pedi ndo tunazisubiri hapa atoto aletewe tuwakomeshee
 
Last edited by a moderator:
Khaaah shem unanichuna!! We huoni hapa nalalamika nimefulia hata hela ya spray sina!!!

Hujaamua tuu kuchakarika kuzitafuta. Hebu peruzi vizuri phonebook..utapata wa kuanza nae kumchuna.....

Bepari now upo katika depression
 
Teh teh teh teeeeh!! Hutaki lift tena jamani? Hata la kaka mito?

Jf ina mawenge kwangu sometimes..Inanigomea kuquote
atoto Acha jeuri..Uache moyo wako uongee..Mtu hawezi kusahau jinsia yake..
mito we mbona deile unanisumbua pm kuhusu binti yangu mi sisemi..Mambo ya pm yabaki plz
Heaven Sent Atoto kadata kwa chotara wa kinyaki lol..Soon tutaanza kula pesa

Hahaaa haya bwana, teh teh
 
Hahahaaaaa! Umefufukia wapi mpenzi? Nimemmiss shem darling wangu Kaizer acha tu, hujamuona humu duniani?

avatar157962_14.gif
kuna katoto nimeona kamebeba ki doll kama hiki nikajiwazia tu haka kakikua katakuwa kanapenda pesa!!!
 
Hahahaaaa! Tutanukia hadi kaka mito atusahau.

Atajuta kutufahamu

Tukijumlisha na kubadilishana nguo na viatu, mbona atatupita njiani akijua ni wadada wapya mtaani, sijui atamnanga nani tena!!

Hahaha na dressing table nishanunua. Yani atatusahau

Mie nitaweka box mweeeh! Sinunui akitaka ajitolee

Aisee dada tu ninao kwa kweli, utafikiri wale wadada wa kipindi cha KAOGEE cha Ebony FM
 
Hujaamua tuu kuchakarika kuzitafuta. Hebu peruzi vizuri phonebook..utapata wa kuanza nae kumchuna.....

Bepari now upo katika depression

Mbona unanifundisha tabia mbaya, haya sumbai naomba hela
 
Last edited by a moderator:
avatar157962_14.gif
kuna katoto nimeona kamebeba ki doll kama hiki nikajiwazia tu haka kakikua katakuwa kanapenda pesa!!!

Hahahaaaa! Usiku huu hako katoto umekaona huko msondo ngoma?
 
avatar157962_14.gif
kuna katoto nimeona kamebeba ki doll kama hiki nikajiwazia tu haka kakikua katakuwa kanapenda pesa!!!

Yani nakahurumiaa...
hako katoto maana, kalizaliw kipindi cha escrow
 
Back
Top Bottom