Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,224
- 16,905
[emoji124]Hapana mkuu sema kuna kama kawoga fulani unaanzakujiuliza akikataa nitaenda
[emoji124]Hapana mkuu sema kuna kama kawoga fulani unaanzakujiuliza akikataa nitaenda
Aseme wikend hii nimfate Maganzo ana wifi yake paleLeta mrejesho ,,,ikawaje sasa? uligegeda au?
Aseme wikend hii nimfate Maganzo ana wifi yake pale,kusafiria mademu ndio siweziLeta mrejesho ,,,ikawaje sasa? uligegeda au?
Unampa mistari kama mwanamke mwingine hakuna utofauti hapo sababu nae ni mwanamke na anatakiwa kutongozwa.Nimejiuliza hili swali sijapata jibu,
Hivi kiongozi wa kanisa mwanamke mchungaji kwa kawaida kama hajaolewa na ikatokea umependa hivi unaanzaje anzaje kumuanza hadi akukubalie na je kabla hujaanza kuomba urafiki nae inabidi mtu uweje kimuonekano labda.
Kujifunika uso hakumfany mtu kuwa muislam bana... Ata majambaz yanaficha uso..Juzi kwenye gari nimemtonhoza Dada wa kiislam aliyefunika uso sembuse mchungaji
Umetisha Mvaa TaiTafuta shati zuri la kitenge, hakikisha suruari yako ya kitambaa imenyooshwa vyema, mfuate umueleze shida yako kwa namna ambayo utakuwa kama unamshuhudia maono uliyopata baada ya kuomba kwa mda mrefu upate mke, Mwambie unamuomba aingie kwenye maombi ili afunuliwe kama maono yako ni ya kimungu. Hata akionyesha kukukubalia haraka uwe unasita sita kidogo ukimuomba mshirikiane katika maombi ili mufunuliwe kama ni mapenzi ya Mungu, usisahau kububujikwa na machozi
Kila siku uwe unamwambia "unajua mama mchungaji nakupenda sana"...kila siku ...rudia hivyo kwa siku 21 kama kuna uelekeo kuna kitu kita eruptNimejiuliza hili swali sijapata jibu,
Hivi kiongozi wa kanisa mwanamke mchungaji kwa kawaida kama hajaolewa na ikatokea umependa hivi unaanzaje anzaje kumuanza hadi akukubalie na je kabla hujaanza kuomba urafiki nae inabidi mtu uweje kimuonekano labda.
Shkamoo mchungaji hahahahhaanyie nyie
Mkuu, angalia isije ikawa umemtongoza Faiza [emoji125][emoji125][emoji125]Juzi kwenye gari nimemtonhoza Dada wa kiislam aliyefunika uso sembuse mchungaji
Mbona hata wanaojiita bikra(masista) wanatongozwa na wanashiriki tendo na bado wanabaki na ile ile sifa ya kuwa bikra japo kiuhalisia bikra inakuwa adimu kupatikanaJuzi kwenye gari nimemtonhoza Dada wa kiislam aliyefunika uso sembuse mchungaji
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Tafuta shati zuri la kitenge, hakikisha suruari yako ya kitambaa imenyooshwa vyema, mfuate umueleze shida yako kwa namna ambayo utakuwa kama unamshuhudia maono uliyopata baada ya kuomba kwa mda mrefu upate mke, Mwambie unamuomba aingie kwenye maombi ili afunuliwe kama maono yako ni ya kimungu. Hata akionyesha kukukubalia haraka uwe unasita sita kidogo ukimuomba mshirikiane katika maombi ili mufunuliwe kama ni mapenzi ya Mungu, usisahau kububujikwa na machozi
We jamaa yaani hufai kabisa. Nimecheka mpaka basi...[emoji23][emoji23][emoji23]Tafuta shati zuri la kitenge, hakikisha suruari yako ya kitambaa imenyooshwa vyema, mfuate umueleze shida yako kwa namna ambayo utakuwa kama unamshuhudia maono uliyopata baada ya kuomba kwa mda mrefu upate mke, Mwambie unamuomba aingie kwenye maombi ili afunuliwe kama maono yako ni ya kimungu. Hata akionyesha kukukubalia haraka uwe unasita sita kidogo ukimuomba mshirikiane katika maombi ili mufunuliwe kama ni mapenzi ya Mungu, usisahau kububujikwa na machozi
FaizaFoxy ni sawa na bibi yanguMkuu, angalia isije ikawa umemtongoza Faiza [emoji125][emoji125][emoji125]
Hapo kwenye kububujikwa na machozi ndo umetishaa zaidi kiongozi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tafuta shati zuri la kitenge, hakikisha suruari yako ya kitambaa imenyooshwa vyema, mfuate umueleze shida yako kwa namna ambayo utakuwa kama unamshuhudia maono uliyopata baada ya kuomba kwa mda mrefu upate mke, Mwambie unamuomba aingie kwenye maombi ili afunuliwe kama maono yako ni ya kimungu. Hata akionyesha kukukubalia haraka uwe unasita sita kidogo ukimuomba mshirikiane katika maombi ili mufunuliwe kama ni mapenzi ya Mungu, usisahau kububujikwa na machozi
Kenye bibilia soma yote ukikosa mwombe mtu akusomee mkuu.Hee wapi wameandika nipe mstari
Mwanamke hawi mchungaji hadi aolewe na ukimkuta hana mume labda mumewe alifariki.