Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,669
- 12,043
Sasa wewe unataka kung'ang'ania kitu kisicho kuwepo. Mtu amesha olewa na ana mume tayari sasa ataitwaje mjane?? Kumbuka kuwa mume au mke akifa basi ndoa hapo ndio imevunjika na yupo huru kuoa au kuolewa na akisha olewa basi sio mjane tena kwasababu anamume tayari. Sasa hapo huwezi tena kumuita mjane, Muite tu mchungaji au Mrs fulani basi.Wacha ujanja, akiolewa atakua amepata mume sawa. Swali jina baada yakuolewa mara ya pili.
Usizungushe maneno nyoosha, kama huna jibu tuulize wadau.
Kama hutaki sasa apo shauri yako.