Daa,huo mtihani mkuu labda niweke kiroba japo kidogo nichanganye na soda sinywaji pombeTafuta shati zuri la kitenge, hakikisha suruari yako ya kitambaa imenyooshwa vyema, mfuate umueleze shida yako kwa namna ambayo utakuwa kama unamshuhudia maono uliyopata baada ya kuomba kwa mda mrefu upate mke, Mwambie unamuomba aingie kwenye maombi ili afunuliwe kama maono yako ni ya kimungu. Hata akionyesha kukukubalia haraka uwe unasita sita kidogo ukimuomba mshirikiane katika maombi ili mufunuliwe kama ni mapenzi ya Mungu, usisahau kububujikwa na machozi
Bwana Yesy asifiwe! Dada Yesu alisema amri kuu nawapa nayo ni upendo. Nami nakupenda kweli dada kwani imeandikwa tafuteni nanyi mtaona na ombeni nanyi mtapewa. Bwana Yesu asifiwe! Akisema Ameni hapo tayari amekubali mnaweza kwenda hatua ya piliWee ungeanzaje
Mmm wakati huo moyo unakaribia kudondoka tumboniBwana Yesy asifiwe! Dada Yesu alisema amri kuu nawapa nayo ni upendo. Nami nakupenda kweli dada kwani imeandikwa tafuteni nanyi mtaona na ombeni nanyi mtapewa. Bwana Yesu asifiwe! Akisema Ameni hapo tayari amekubali mnaweza kwenda hatua ya pili
Hao watumishi wa Mungu usiwatie majaribuni mkuuKwani nimefanyaje mkuu![]()
Asee hapa kuna kamwongozo kidogochukua namba yake ya simu.....hakikisha unajipendekeza akujue ikiwemo kuanzisha pambio, kutoa michango ya harambee, ukimaliza fuata hatua ya pili.
2. Mtumie msg zile za biblia, video za maombi kama yupo whatsapp nk. Kisha angalia respond yake ...akiwa anajib hata neno "Amen" hiyo ni ishara tosha yuko coperative.
Hatua ya tatu tengeneza shida inayohitaj maombi kwake, mfuate faragha baada ya ibada akuombee individualy,,,baada ya hapo kaa siku kadhaa kama week mbili mpigie simu kbsa kwamba umefanikiwa tatzo uliloombewa limeisha mshukuru, kisga nunua kuku jogoo chinja na kumkaribishe kwako apate lunch kama shukrani...akiwa kwako kuwa dynamic utapata majib.,
NB: dont apply this.
Tafuta shati zuri la kitenge, hakikisha suruari yako ya kitambaa imenyooshwa vyema, mfuate umueleze shida yako kwa namna ambayo utakuwa kama unamshuhudia maono uliyopata baada ya kuomba kwa mda mrefu upate mke, Mwambie unamuomba aingie kwenye maombi ili afunuliwe kama maono yako ni ya kimungu. Hata akionyesha kukukubalia haraka uwe unasita sita kidogo ukimuomba mshirikiane katika maombi ili mufunuliwe kama ni mapenzi ya Mungu, usisahau kububujikwa na machozi
we hufaiSasa utueleze unatafuta mchumba ambae ni mchungaji, hapo tutakuelewa ila siyo kutongoza mkuuSasa kama ni hivyo asipendwe?hivi ujue na yeye hua anaomba mungu apate mume mwema kama wengine
Tafuta shati zuri la kitenge, hakikisha suruari yako ya kitambaa imenyooshwa vyema, mfuate umueleze shida yako kwa namna ambayo utakuwa kama unamshuhudia maono uliyopata baada ya kuomba kwa mda mrefu upate mke, Mwambie unamuomba aingie kwenye maombi ili afunuliwe kama maono yako ni ya kimungu. Hata akionyesha kukukubalia haraka uwe unasita sita kidogo ukimuomba mshirikiane katika maombi ili mufunuliwe kama ni mapenzi ya Mungu, usisahau kububujikwa na machozi
nyie nyie1:- unajipendekeza kanisani na sadaka kibao ( hata kwa kukopa )
2:- Unaanza kumkaribisha kwako apazoee.
3:- Akuzoea unambaka kwakua hatoweza kusema.
4:- Unamweleza ya moyoni mchezo umeisha.
Angalizo ukushindwa kumbaka jela ni 100%.
Una pepo la ngono.Yaani nikimkaribia natetemeka
howMwanamke ni mwamke tu...
Bibilia yanyewe imeandika uoga ni dhambi.Mmm huo mtihani sasa wakati hata akipita pembeni yako unajiskia woga