kisikiji
JF-Expert Member
- Feb 2, 2015
- 2,530
- 2,495
Kwani unavoelewa wewe mjane ni nani?? Tuanzie hapo kwanza.
Mjane ni mwanamke aliyefiwa na mume.
Je akiolewa tena anaitwaje.
Kwani unavoelewa wewe mjane ni nani?? Tuanzie hapo kwanza.
Mpaka hapo alikua kishakaribia kushinda gameLIJAMAA: mama mchungaji nina neno nawe kama roho inavyoniambia
MAMA MCHUNGAJI: Sema tu ngugu uwe na amani
LIJAMAA: Najisikia kukupenda sana,nitafurahi kuona siku moja nakua mumeo na tukaishi kwa amani zote huku tukihudumu pamoja
MAMA MCHUNGAJI: hahahaha una hakika na unachokisema?
LIJAMAA: kabisa wala sitanii
MAMA MCHUNGAJI: ok tuseme na MUNGU kwanza atuongoze
LIJAMAA: hakika upo sawa mama,nakupenda sana na ninashukulu kwa kunisikiliza
MAMA MCHUNGAJI: Tuingie maombi ya kufunga kwa muda wa mwezi mzima MUNGU atatujibu kama ni kusudio lake.
LIJAMAA:.......................!![emoji36] [emoji36]
Usinambie umemdondokea mchungaji mwanamkeYaani nikimkaribia natetemeka
Acha ukoma mkuu,hivi na ww mwanaume kweli??Mmm huo mtihani sasa wakati hata akipita pembeni yako unajiskia woga
aisee uko vzrJuzi kwenye gari nimemtonhoza Dada wa kiislam aliyefunika uso sembuse mchungaji
Mie sijambo mkaka... Hakikisha unacheza kwa step lakiniSijamdondokea nimeuliza tuu namna ya kumwingia endapo ikatokea,,hujambo vale
Nipe namba yake nikusaidie kumueleza nia yako lkn iwe Kwa nia ya ndoa tu na sio Kwa matamanioSijawahi kutongoza
Mara nyingi huwez kukuta mwanmke mchungaji ambae hajaolewa....Nimejiuliza hili swali sijapata jibu,
Hivi kiongozi wa kanisa mwanamke mchungaji kwa kawaida kama hajaolewa na ikatokea umependa hivi unaanzaje anzaje kumuanza hadi akukubalie na je kabla hujaanza kuomba urafiki nae inabidi mtu uweje kimuonekano labda.
Akikataa sijui kama kanisani utaruka tena...labda awe sio wa kanisa lako...au hata kama utaenda kwa kujikaza kisabuni wakati wa mahubiri sijui kama utapata kituHapana mkuu sema kuna kama kawoga fulani unaanzakujiuliza akikataa nitaenda