Hivi MBA bado ina soko?

Hivi MBA bado ina soko?

JAMBONIA LTD

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2014
Posts
584
Reaction score
276
Habari zenu wana jf.. mimi nina bachelor (B.sc.ed), nafikiria kujiunga open university ..nataka kuchukua MBA mwaka huu..ila nahitaji-ushauri kwanza je chaguo langu ni sahihi kwa hali ya sasa?..maana siku za nyuma nlisikia watu wengi walikimbilia huko..ambaye amesoma hii master au ana uzoefu na hili anishauri..
 
MBA haiwezi kosa soko hata siku moja. Ilianzishwa zaidi ya miaka arobaini iliyopita na bado iko kwenye chati...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Piga MBA-procurement and logistics,nadhani ipo mlimani na udom kama ckosei.over
 
Piga MBA-procurement and logistics,nadhani ipo mlimani na udom kama ckosei.over

Ahsante ila nataka nipige open ili niendelee na kibarua changu c unaju private sector tena...sema hapo open kuna program inasomeka Master of business management transport and logistics management (MBA T & LM)..Nahisi inaweza fanana na hiyo.
 
poa,hata hyo iko fresh,gonga shule mkuu!
 
Nshapeleka application form tayari
jaman na mm nataka kwenda kupiga hii course hapa nimepata mwanga kidogo, siju kwa nchi zingine kama Korea, mana nataka kwenda kusoma huko sijui na soko lake kwa huko Korea
 
jaman na mm nataka kwenda kupiga hii course hapa nimepata mwanga kidogo, siju kwa nchi zingine kama Korea, mana nataka kwenda kusoma huko sijui na soko lake kwa huko Korea

Ina maana unataka kumaliza na ulowee huko huko Korea? Nami wadau nataka nisome Master ya Human Resource Management sijui wadau ina ubora gani ukilinganisha na MBA?
 
Ina maana unataka kumaliza na ulowee huko huko Korea? Nami wadau nataka nisome Master ya Human Resource Management sijui wadau ina ubora gani ukilinganisha na MBA?
mkuu si unajua ncchi yetu ilivyo kizungumkuti? hata business ukianzisha bado utafuatwa fuatwa mpaka wakufilisi kwa mambo ya kijinga, bora niloweee tu huko nisije ua mtu hapa bure nikanyee debe
 
mkuu si unajua ncchi yetu ilivyo kizungumkuti? hata business ukianzisha bado utafuatwa fuatwa mpaka wakufilisi kwa mambo ya kijinga, bora niloweee tu huko nisije ua mtu hapa bure nikanyee debe

Poa,lakini jitahidi ukipata uje uwekeze huku,lakin pia nimeuliza kaswali hapo ka ulinganifu kati ya MBA na MHRM na ipi ni bora na kuhusu ajira zake hapa nchini bado zinapatikana?
 
MBA katika dunia ya leo muhimu sana hasa ukitilia maanani competition kubwa iliyokuwepo kati ya watafuta ajira. Kama unaweza kujipinda ili ulale nayo mbele basi usipoteze nafasi hiyo.
 
mba katika dunia ya leo muhimu sana hasa ukitilia maanani competition kubwa iliyokuwepo kati ya watafuta ajira. Kama unaweza kujipinda ili ulale nayo mbele basi usipoteze nafasi hiyo.
nimekupata mkuu
 
Mi nilidhani ulimaanisha Married But Available (MBA)
 
Mi nilidhani ulimaanisha Married But Available (MBA)

Duh! Hapana ni Masters of business Administration. .unaijua? Unauzoefu nayo mkuu? Tupia mawazo yako hapa kama una uelewa nayo...
 
Back
Top Bottom