Hivi MBA bado ina soko?

Hivi MBA bado ina soko?

MBA kwa kipindi hiki ni muhimu ukizingatia sasa hivi kuna international trade kati ya Tanzania na mataifa mengine kati ya mtu mmoja mmoja wa tz na watu wa mataifa mengine so ni muhimu kuwa na maarifa ya biashara ya kimataifaa
 
Yani ukimaliza hii kozi lazima uhamasike kujiajiri mwenyewe kwani utaona kabisa umetolewa tongotongo usonii
 
Habari zenu wana jf.. mimi nina bachelor (B.sc.ed), nafikiria kujiunga open university ..nataka kuchukua MBA mwaka huu..ila nahitaji-ushauri kwanza je chaguo langu ni sahihi kwa hali ya sasa?..maana siku za nyuma nlisikia watu wengi walikimbilia huko..ambaye amesoma hii master au ana uzoefu na hili anishauri..
MBA ni nzuri, lakini jitahidi kufikiria nje ya box. Sio uzuri wake katika soko la ajira. Maana waajiri wazuri wakiajiri wewe utakuwa huna chako... Kuna kujiajiri pia...
 
Piga MBA-procurement and logistics,nadhani ipo mlimani na udom kama sikosei over

Acha kupotosha wewe MBA ipo muda mrefu Mzumbe na Mlimani.. Tena Mzumbe wanatoa executive....

Udom si ya juzi tu
 
Ndugu yangu nivizuri kupata ushauri sahihi kuliko kupotoshwa tu hapa!

Binafsi nimesoma BBA,nimekaa mtaani nikisaka ajira kwa muda mrefu ....

Mwaka jana nikapata ushauri toka kwa Prof. fulani wa Mzumbe alinishauri kwamba MBA ni nzuri kwa mtu aliye kazini (mfano mhasibu) anapotaka kuongeza maarifa zaidi yakiuongozi katika fani yake (eg:-uhasibu) basi mtu huyo anaweza akasoma MBA in Accountancy......

Au ni nzuri kwa mtu mwenye mtazamo wakujiajili na si kuajiliwa..

Kwa ushauri zaidi ni PM nikupe ushauri zaidi.
 
Na kwasasa MBA inatolewa na karibu vyuo vyote hapa Tz....

So MBA ni kozi iliyotema sana na inaendelea kutema zaidi hivyo ni vizuri ukawa makini kabla yakuchagua kitu cha kusoma.
 
Ndugu yangu nivizuri kupata ushauri sahihi kuliko kupotoshwa tu hapa!

Binafsi nimesoma BBA,nimekaa mtaani nikisaka ajira kwa muda mrefu ....

Mwaka jana nikapata ushauri toka kwa Prof. flani wa Mzumbe alinishauri kwamba MBA ni nzuri kwa mtu aliye kazini (mfano mhasibu) anapotaka kuongeza maarifa zaidi yakiuongozi katika fani yake(eg:-uhasibu) basi mtu huyo anaweza akasoma MBA in Accountancy......

Au ni nzuri kwa mtu mwenye mtazamo wakujiajili na si kuajiliwa..

Kwa ushauri zaidi ni PM nikupe ushauri zaidi.

hapa tunazungumzia masters

na kuhusu uzoefu masters yoyote inakuwa nzuri ukishakuwa kazn....

Ni nadra kukuta taasis inaajiri master amby ni fresh bila uzoefu.. Labda za kufundisha
 
Na kwasasa MBA inatolewa na karibu vyuo vyote hapa Tz....

So MBA ni kozi iliyotema sana na inaendelea kutema zaidi hivyo ni vizuri ukawa makini kabla yakuchagua kitu cha kusoma.

bado mahitaji ni makubwa coz MBA iko wide bado
 
hapa tunazungumzia masters

na kuhusu uzoefu masters yoyote inakuwa nzuri ukishakuwa kazn....

Ni nadra kukuta taasis inaajiri master amby ni fresh bila uzoefu.. Labda za kufundisha

Ndo hivyo sasa, ni vizuri hyo masters ikaendana kidogo na undergraduate degree yako!
Mfano umesoma procurement au accounts degree ya kwanza, halafu masters ukasoma sociology hapo utakuwa umepoteza ila ukisoma masters ya accounts au finance management hapo utakuwa umepatia kwakuwa ukiwa na uzoefu wa kwny procurement au accounts unaweza ukautumia kwenye mambo ya finance....
 
Nashukuru tayari nimepata admission ya hii course...sasa kinachofuata ni kupata ushauri ktk specialization kati ya hzi..
1. Finance
2. Accounting
3. Marketing
4. Human resource
5. Logistics and transport
Ipi imetulia hapo?
 
Nashukuru tayari nimepata admission ya hii course...sasa kinachofuata ni kupata ushauri ktk specialization kati ya hzi..
1.finance
2.accounting
3.Marketing
4.human resource
5.logistics and transport
Ipi imetulia hapo?

finance na account hazina soko.
kwa sasa bank wanajiajiri mandugu, baba anamweka kijana wake wa form four. wewe mwny degree unasota kitaaa nimeona watu wengi wa account na finance hawana ajira na hizo koz n vigumu kujiajiri
labda usome human resources.
 
JAMBONIA LTD hali yako mkuu samahani natafuta jinsi ya kukuPM ila nashindwa niko hewani kwa simu...naomba kujua kuhusu iyo masters hapo open university
 
Back
Top Bottom