Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,196
Jamama ukimuulzia kuhusu Democrasia anakimbilia kusema vyama vinakandamiza democrasia,vyama ni miungu watu etc..huku akipoint cdm km vile ndicho chama tawala,Na hiyo akili yake imeganda hapo hapo...nilitaka kwenda soma paper iliyompatia huo Uprof...itakuwa published wapi..inaweza kuwa inahusu CDM na safai ya Ayatuoullah?au unaweza kuta ni ile paper ambayo Ben saanane anitwa 8 oclock...ile iliyofanya waambie wafunge mlango kwa nje?
Inaonekana hata utaratibu wa mtu kupandishwa hadi kufikia Uprofessor huujui, sasa sijui unapata wapi huo ujasiri wa kuandika haya!
Unakwenda kusoma paper iliyopandisha? Are you crazy? Uprofessor haupatikani kwa paper moja, na wala haupatikani kwa paper zinazochapishwa kwenye journal za Tanzania tu, ni lazima mtu awe na publication kwenye international journal. Lakini pia, si tu publications, but also kazi nyingine za kijamii ambazo unazifanya.