Hivi mapenzi ya hadharani maana yake nini?

Hivi mapenzi ya hadharani maana yake nini?

Tena utakuta yanayofanya jhivyo mizeee yaani kibabu na kibibi. Wanakera sana. Mambi hayo wafanye under 18 utasema utoto.
Ingawa ukiona watu wanajishaua hivyo ujue si mtu na mkewe wameibana huko kila mtu ana mume na mkewe nyumbani kwahiyo hizo dakika chache wanataka kila mmoja amuonyeshe mwenzake ufundi wake wewe chunguza.
Mtu ha mke wake hasa ni aghalabu kukuta wanafanya ujinga huo.

unamjua Dr. Chris Mauki? A Tanzanian psychologist, married 10yrs. ukimuona na mke wake utafkiri wameanza jana. He is a helpless romantic. Hadi raha.

Mrs. Mauki you are a lucky woman!

sio ujinga. sio kujishaua. sio uchafu. sio ushamba. sio kuiga wazungu.

tatizo Africa hamna utamaduni wa kuonyeshana affection. hata kwa mzazi na mtoto tu. ndomana tunabaki kushangaashangaa.

unakereka sababu mwenyewe huyapati hayo.
 
Ungewasimamisha hao ulowaona wanatekenyana uwaulize wanamaanisha nn
 
Ukweli unabaki palepale huo ni ushamba na ulimbukeni.Wangapi tunawapenzi na hatufanyi huo upuuzi.
Ndoooroooboo hao.
 
Back
Top Bottom