mkuu kwenye maisha kuna vitu sumtymz tunapenda kufanya sema tu aibu inatusitiri..ila kuna watu mishipa ya aibu ishakatika kitambo..wanafanya vitu ambavyo we unashangaa ila wao wanaona sawa tu na wala hawaigizi..
Halafu mbona umevaa hivyo kwenye public?! (Kwenye avatar yako) huo si ushamba huo!!! Kwanini usivae hivyo chumbani kwako na mpenzi wako au mmeo!!!?
Ukiyajibu hayo uje ulalamikie wanaoshikana mikono barabarani
we unafanyaga ivo dia?
Ok, basi we twambie why unafanya ivo kwa public
avata sio mie ila wanaochikana barabarani ni wenyewe halisi
"Kimtokacho mtu ndicho kiujazacho moyo wake"
Kutumia avatar ya namna ile tayari inawakilisha ukipendacho, kilichokujaa moyoni mwako!! Hukichukii. Na kama unapenda wanaovyaa namna ile kwenye public iweje uchukie wanaoshikana mikono tu!!?
Ila hapa unakuja kinafiki tu kutubabaisha eti hupendi watu washikane.. Kwani wqnaugomvi gani hadi wakae mbalimbali kama wamebeba mabomu.
mmh basi ntabadili hii avata ndo ujue mi sipendi hayo