Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,553
- 35,424
Anatuzingua tu!! Au ndo nyani haoni ndukule..
ndo hapo sasa
Anatuzingua tu!! Au ndo nyani haoni ndukule..
Sasa mbona una wivu na mapenzi ya watu?
Mtoa mada atakuwa kaachikaa
Unakuta wapenzi wanatembea barabarani sijui kitaa wenyewe wanasema alafu wanashikana shikana ovyo barabarani sijui kutekenyana sijui nini wenyewe wanajua
Ni kwamba mnataka kutuonyehsea mnapendana sana au kutuonyesha nyie ndo mnajua mapenzi sana au ushamba tu wa kukopi uzungu ushuzi. kwani nyie wenyewe hamjui ka mnapendana mpaka mkaonyeshe kwa watu barabarani, mkikaa uko chumbani kwenu amuwezi kutekenyana??? mfyuuu!!
na we unafanyaga ivo mkuu
Aaaaah ilikuwa chumbani bana, nahisi ulipiga chabo umesahau tu!!
Mmmh haya bana!!!!! mi chichemi
Akuuu cha kujitia genye kwa kupiga chabo nini!! Nilikushuhudia kwa majicho yangu in public place, alafu muamala haujasoma ujue!
mtandao bado unasumbua ndg yangu nisamee bure!!!
Hayo huwa tunayaita mahaba nitekenye nipate nyege nikulenge.,