Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,107
- 12,331
Sasa mbona una wivu na mapenzi ya watu?
Sio wivu ni ushamba na ujinga uliopitiliza.mnamuonesha nani kwamba mnapendana barabarani?
Sasa mbona una wivu na mapenzi ya watu?
Hayo huwa tunayaita mahaba nitekenye nipate nyege nikulenge.,
Unakuta wapenzi wanatembea barabarani sijui kitaa wenyewe wanasema alafu wanashikana shikana ovyo barabarani sijui kutekenyana sijui nini wenyewe wanajua.
Ni kwamba mnataka kutuonyehsea mnapendana sana au kutuonyesha nyie ndo mnajua mapenzi sana au ushamba tu wa kukopi uzungu ushuzi.
Kwani nyie wenyewe hamjui ka mnapendana mpaka mkaonyeshe kwa watu barabarani, mkikaa uko chumbani kwenu amuwezi kutekenyana?
Unakuta wapenzi wanatembea barabarani sijui kitaa wenyewe wanasema alafu wanashikana shikana ovyo barabarani sijui kutekenyana sijui nini wenyewe wanajua.
Ni kwamba mnataka kutuonyehsea mnapendana sana au kutuonyesha nyie ndo mnajua mapenzi sana au ushamba tu wa kukopi uzungu ushuzi.
Kwani nyie wenyewe hamjui ka mnapendana mpaka mkaonyeshe kwa watu barabarani, mkikaa uko chumbani kwenu amuwezi kutekenyana?
Sio wivu ni ushamba na ujinga uliopitiliza.mnamuonesha nani kwamba mnapendana barabarani?
"Kimtokacho mtu ndicho kiujazacho moyo wake"
Kutumia avatar ya namna ile tayari inawakilisha ukipendacho, kilichokujaa moyoni mwako!! Hukichukii. Na kama unapenda wanaovyaa namna ile kwenye public iweje uchukie wanaoshikana mikono tu!!?
Ila hapa unakuja kinafiki tu kutubabaisha eti hupendi watu washikane.. Kwani wqnaugomvi gani hadi wakae mbalimbali kama wamebeba mabomu.
Unakuta wapenzi wanatembea barabarani sijui kitaa wenyewe wanasema alafu wanashikana shikana ovyo barabarani sijui kutekenyana sijui nini wenyewe wanajua.
Ni kwamba mnataka kutuonyehsea mnapendana sana au kutuonyesha nyie ndo mnajua mapenzi sana au ushamba tu wa kukopi uzungu ushuzi.
Kwani nyie wenyewe hamjui ka mnapendana mpaka mkaonyeshe kwa watu barabarani, mkikaa uko chumbani kwenu amuwezi kutekenyana?
penzi kama kubanja kuzuia uwezi acha watu wapeane malavidavi maisha yenyewe yakuwapi
Pita hivi...
kwahiyo ukiona watu wanaoneshana mapenzi barabarani ndio umeambiwa kuwa wanaiga wazungu (akili za wabongo sikuzote zipo nyuma nyuma kimawazo) u
Somebody is Jealous.... aaahhhhaaaa... Thanks..