mzee wa upako,hela ipo usiwe na wasiwasimkandara...siwezi kosa bilioni kumi za kujenga bweni
Halafu huyo nia yake ni kusikia mapato yameshuka ili washangilie utafikiri sio wa tzUna uhakika miezi miwili taarifa hazijatolewa? Nchi hii bwana, kila mtu ni 'much know', hata asilolijua atafanya kama anajua sana.
wale wanafunzi wa udom wameokoa pesa nyingi kijanja,eti ni vila...
wakuu 7802*8500*days of two semisters sawasawa na sh ngapi ????
wangesema tumefurusha wale ili kusevu hellaa!
Kwani ualimu sio kazi? Bwege wewe.ujue part kubwa ya wanaojidai
BAvicha ni Vifaranga kumaliza chuo na kufeli kwao kwakua vyuo vipo vingi basi kila mtu anaona anaweza kuongea jambo
Wengi wenu ni vilaza ajira hamna kama ipo ni ualimu ambayi ndio mulemule mtu akikosa option anaangukia huko