Walitangaza lini mkuu na nishingapi kupitia TV ganiWaropokaji nyie kweli mnafatilia taarifa za habari?
Walitupa matumaini amabayo hayakuwepo kabisaLabda bado wanapiga mahesabu mkuu tuwape muda.... zito anasema walikuwa wanakusanya Aerials na sio ongezeko halisi la kodi....
Haaa haaa haaaWana andikia chaki nyeusi
Ninahisi dereva anaweza kuikimbia gari muda wowote hali ni mbaya kuliko maelezoWanajukwaa kuna nini kinaendelea mbona siku hizi ripoti za mapato na matumizi haziwekwi tena hadharani? Au ubao umevunjika?
Nakumbuka stering mstaafu alikuwa amekaa pembeni akitabasamu huku akikumbuka mstari wa bible usemao "Avaaye asijisifu kama avuaye"
Na akikimbia to gari tunaendesha ss wenyewe!!! Atutaki tena madereva wa zaman maana waendesha kizamanNinahisi dereva anaweza kuikimbia gari muda wowote hali ni mbaya kuliko maelezo
Eti eeehhh ....Tumeanza kuwa na wasiwasi huenda mapato yamepungua sana ndo sababu wanatafta visingizio vya kuwatimua wana chuo wa UDOM.
Naomba kufahamu wana JF hapa hivi Mapato ya Ukusanyaji kodi yametangazwa kwa mwezi ulioisha jana? Maana huenda nimepitwa sijasikiaaa. Kwa mwenye taarifa kamili tafadhali.
hahahaani vile bado hatujamaliza kuyapika. yakiiva tutayatangaza pasi na shaka.
afu sema nao wapinzani wanatusemaga vibaya sana, vinginevyo tungetangaza mabichi jinsi yalivyo.