wazungusha viuno wa LUMUMBA ndo wakina nani hao mzee mwenzanguhahahaha waulize wazungusha viuno wa Lumumba watakua na taarifa: me sijui mkuu.
ndiyo...imeshuka by 70%!Naskia TBL wanalalama sales turnover yao imeshukaa SAANA
Sasa hawa si ndo tax payer wakubwa??
Hali lazima iwe mbaya, mzigo bandarin imeshukaa saana,wakija na data za kupikwa tutajua tuu
Fanta kipapli...Waliosema kuwa awamu ya 5 imeanza kwa nguvu ya soda hukuelewa walimaanisha nini?
Unaposema sikuhizi unamaanisha nini? mwezi Jan hayakutangazwa? Feb hayakutangazwa? April hayakutangazwa?....Je unazikumbuka tarehe za miezi yote hiyo ya nyuma ambazo mapato ya mwezi wa nyuma yake yalitangazwa? Kama ni taabu sana kukumbuka zote basi tueleze ya mwezi April yalitangazwa tarehe ngapi ya mwezi wa tano, kama hukumbuki tafuta then compare na mwezi huu afu ndo mrudi hapa kuuliza.....Mkiitwa VILAZA mnalalamika sa sijui mpewe jina gani linalowafaa.Wanajukwaa kuna nini kinaendelea mbona siku hizi ripoti za mapato na matumizi haziwekwi tena hadharani? Au ubao umevunjika?
Nakumbuka stering mstaafu alikuwa amekaa pembeni akitabasamu huku akikumbuka mstari wa bible usemao "Avaaye asijisifu kama avuaye"
Una uhakika miezi miwili taarifa hazijatolewa? Nchi hii bwana, kila mtu ni 'much know', hata asilolijua atafanya kama anajua sana.Serikali hii ya awamu ya tano ilianzisha utaratibu ambao wengi waliufurahia wa kutoa taarifa kupitia mamlaka ya mapato (TRA) kila mwezi na mchanganuo wake.
Sasa yapata miezi miwili hatujapewa taarifa, naiomba serikali iendelee na huo utaratibu kwani ndio ulikua unatupa mwanga wa kujua kama tunaweza kujitegemea kutokana na mapato yetu ya ndani.
kuna sheria inasema lazima upewe au ni kuwashwa tu(Tulizoea miezi ya nyuma kutangaziwa mapato na matumizi toka awamu hii imeanza lakini sasa hali imekuwa tofauti hayatangazwi tena je nini kimetokea ?
Au mapato yameshuka isivyo kawaida maana tuko gizani hatujui ni kiasi gani kinakusanywa.
Je athari za kupungua kwa meli bandarini inaweza kuwa ni sababu karibuni tujadili wenye taarifa za kina
sa we kilaza haujui uchumi unatafuta popularity Jf ukagombee uenyekiti lazima itakusumbua .Nenda google tafuta mwenendo wa bandari zote duniani kwa miezi 5 unaongea kama unapewa muwa umerembua machoTulizoea miezi ya nyuma kutangaziwa mapato na matumizi toka awamu hii imeanza lakini sasa hali imekuwa tofauti hayatangazwi tena je nini kimetokea ?
Au mapato yameshuka isivyo kawaida maana tuko gizani hatujui ni kiasi gani kinakusanywa.
Je athari za kupungua kwa meli bandarini inaweza kuwa ni sababu karibuni tujadili wenye taarifa za kina