Hivi mapato ya mwezi Mei ni kiasi gani?

Hivi mapato ya mwezi Mei ni kiasi gani?

Kama angeacha mambo kama yalivyokuwa hakika haya yote yasingetokea
 
Serikali hii ya awamu ya tano ilianzisha utaratibu ambao wengi waliufurahia wa kutoa taarifa kupitia mamlaka ya mapato (TRA) kila mwezi na mchanganuo wake.

Sasa yapata miezi miwili hatujapewa taarifa, naiomba serikali iendelee na huo utaratibu kwani ndio ulikua unatupa mwanga wa kujua kama tunaweza kujitegemea kutokana na mapato yetu ya ndani.
 
Waliosema kuwa awamu ya 5 imeanza kwa nguvu ya soda hukuelewa walimaanisha nini?
 
Serikali hii ya awamu ya tano ilianzisha utaratibu ambao wengi waliufurahia wa kutoa taarifa kupitia mamlaka ya mapato (TRA) kila mwezi na mchanganuo wake.

Sasa yapata miezi miwili hatujapewa taarifa, naiomba serikali iendelee na huo utaratibu kwani ndio ulikua unatupa mwanga wa kujua kama tunaweza kujitegemea kutokana na mapato yetu ya ndani.
Baba jesca hataki
 
Baba J bado anamtumbua J na wenzake UDOM na akimaliza huko atakuja kuruhusu mapato yatangazwe.
 
Tukiwaambia mapato mnadai sana maden yenu tumeamua kusitisha kutangaza kwanza
 
Serikali hii ya awamu ya tano ilianzisha utaratibu ambao wengi waliufurahia wa kutoa taarifa kupitia mamlaka ya mapato (TRA) kila mwezi na mchanganuo wake.

Sasa yapata miezi miwili hatujapewa taarifa, naiomba serikali iendelee na huo utaratibu kwani ndio ulikua unatupa mwanga wa kujua kama tunaweza kujitegemea kutokana na mapato yetu ya ndani.
Waropokaji nyie kweli mnafatilia taarifa za habari?
Tulizoea miezi ya nyuma kutangaziwa mapato na matumizi toka awamu hii imeanza lakini sasa hali imekuwa tofauti hayatangazwi tena je nini kimetokea ?

Au mapato yameshuka isivyo kawaida maana tuko gizani hatujui ni kiasi gani kinakusanywa.

Je athari za kupungua kwa meli bandarini inaweza kuwa ni sababu karibuni tujadili wenye taarifa za kina
 
Hivi ishu ya jesca imeishia wapi, mimi nimeanza kusahau ishu ya Lugumi
Kwani ile KAMATI/TUME/TaskFOSI ya akina Kibajaj si ilishawasilisha ripoti yao Bungeni? Siku 30 si zimesha pita? Utasemaje unaisahau Lugmani Lutwanga?
 
Kuna watu wanasifia kwa sababu za kishabiki na si uhalisia. Watasema tu kirahisi nchi ilifika pabaya wacha ainnyooshe. mambo yakienda mrama wananywea kama mtoto aliyepata div 0 ukimuuliza umefaulu je atasema sijaenda kuangalia. Hata mzazi atevungavunga tu!
 
Wanayapandisha kuficha aibu zao! Mapato hayapandi tena na mizigo bandarini hakuna! Papara zote kwisha! Misifa camp watajijua this time! Walidhani rahisi hivyo! Si wanasema nchi tajiri sana hii....tunawasubiria tu wanavyotoka povu
 
hata watumishi kuwalipa ni issue..
kuna idara mwezi wa tatu hawajaona stahili...
 
Tulieni budget isomwe kwanza, mna haraka ya nini mwaka wa fedha wenyewe umeisha tunaanza mpya
 
Back
Top Bottom