Hivi Makonda alipokuwa anatenda uhalifu wake viongozi wakuu wa Nchi kama Rais na Waziri Mkuu hawakuwa na Taarifa? Hawakujua ama hawakufahamu?

Uzuri haya yalirekodiwa mapeeemaa hebu unganisha dot hizi.

1.Siku rais anahutubia makinikia dar es salaam makonda Kama mkuu wa mkoa hakuwepo Jambo ambalo halikuwa la kawaida.

2.Masaa machache baada ya lisu kushambuliwa dodoma ulionekana msafara wa magari mawili meusi maeneo ya kihonda morogoro ukikimbia kwa kasi ya ajabu kuelekea uelekeo wa dar/mjini.

3.Siku hiyohiyo ama kesho yake sikumbuki vizuri uzi umo humu.
Makonda alionekana akifanya jogging maeneo ya kwa mkuu wa mkoa wa morogoro.
Tangu lini kibaka afanye kazi ya kijasusi tena wale special alafu kibaka aifanye hiyo kazi asigundulike
 
Back
Top Bottom