Hivi Makonda alipokuwa anatenda uhalifu wake viongozi wakuu wa Nchi kama Rais na Waziri Mkuu hawakuwa na Taarifa? Hawakujua ama hawakufahamu?

Ni swali zuri, lakini kwanza shangaa, ni vipi hakuna mtu anayeshituka na hiyo ban, ni kama hamna jambo limetokea, nae angekuwa na busara angejiuzuru ili kuonyesha ukomavu katika kubeba kashfa kubwa kiasi kile.
Eti serikali aishughuliki na taarifa za mtandao, nimecheka!!!!
 
Ni swali zuri, lakini kwanza shangaa, ni vipi hakuna mtu anayeshituka na hiyo ban, ni kama hamna jambo limetokea, nae angekuwa na busara angejiuzuru ili kuonyesha ukomavu katika kubeba kashfa kubwa kiasi kile.
Eti serikali aishughuliki na taarifa za mtandao, nimecheka!!!!
Hali ni mbaya kuliko unavyodhani
 
bagamoyo,
Hivi wakati akiongoza maandamano alikuwa akiishi dunia ipi? Je issue ya Trump sio kufichuliwa kwanini hakunyamaziwa mpaka muhula wake uishe?
 
Nguvu kubwa kapewa na nani, kazitowa wapi, nani yuko nyuma yake??

Kumbuka yeye ni RC tu..
2292465_tapatalk_1580544818216.jpeg
 
Wameshamulika mmoja tiari...sasa tusubiri mwendelezo wake..!! Hili jambo si dogo..linahitaji hekima ya hali ya juu.
 
Ikiwa kama Paulo Makonda ametenda unyama uliotajwa na Serikali ya Marekani na ambao umepelekea kudhalilisha nchi yetu kuliko ilivyowahi kudhalilishwa tangu Mungu aumbe mbingu na ardhi, nina swali dogo sana la kuuliza.

Je alipokuwa anatenda uhalifu huo viongozi wakuu wa nchi hii akiwemo Rais, Makamu wake na Waziri Mkuu hawakujua ? Je viongozi wa idara za Usalama wa Nchi nao hawakujua? ikiwa kama raia ambaye hakuwahi hata kuhudhuria mafunzo hata ya JKT au Mgambo anaweza kutenda mambo mabaya kiasi hiki na vyombo vya usalama vikashindwa kumuona hadi waone wazungu basi nchi yetu inahitaji huruma ya Mungu.

Vinginevyo Serikali ya Tanzania ikanushe jambo hili na kuitangaza Marekani kama Taifa la waongo wakubwa ili dunia ituelewe

Hhaiwezekani jambo kubwa la kudhalilisha nchi kama hili likapita bila kujadiliwa, hatulengi kutukana wala kuhatarisha chochote, hii ni kwa sababu kilichotajwa kufanywa na Makonda ndio cha hatari zaidi kwa Taifa letu kuliko kuhoji

Naomba kuwasilisha

Makonda hakufanya kwa mkono wake, wapo walio chini yake na juu yake
 
Back
Top Bottom