Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,626
- 20,582
Ni nchi ya kijinga sana.
Ujawahi kufika sawa na nyumbani kwenu kusema mnakaa vichakaniNi nchi ya kijinga sana.
Andika vizuriUjawahi kufika sawa na nyumbani kwenu kusema mnakaa vichakani
Huu ndo ukweli mchungu umeamua kuuweka hapaWa Nigeria sio kwamba wamesoma sana wamefoji sana vyeti pia waliosoma wapo kawaida tu wao kufoji ni sehemu ya maisha yao ni kawaida tu..
Ukiguswa unajibu kuulizaAndi
Andika vizuri
Mtu mwenye Elimu kwani lazima aishi Nigeria si popote pale anaajiriwa Watanzania kudanganywa ni rahisi sana na pia wakiona mtu anaongea kiingereza tu basi wanajua ni msomi Wanigeria wapo wengi pia ambao hawajasoma kabisaa shule na tupo nao huku mtaani ila wana vyeti kama wamepita hadi Chuo hiyo mpaka ukutane na jamaako ndio atasema ukweli..Huu ndo ukweli mchungu umeamua kuuweka hapa
MTU awe na PhD then aishie kusafisha viatu
Asante Mkuu hii itakuwa inewafungua Akili .watu wengi.Mtu mwenye Elimu kwani lazima aishi Nigeria si popote pale anaajiriwa Watanzania kudanganywa ni rahisi sana na pia wakiona mtu anaongea kiingereza tu basi wanajua ni msomi Wanigeria wapo wengi pia ambao hawajasoma kabisaa shule na tupo nao huku mtaani ila wana vyeti kama wamepita hadi Chuo hiyo mpaka ukutane na jamaako ndio atasema ukweli..
Kuna mitaa Lagos ni no go zones japo serikali inakataa kukibaliKuna mtu wangu wa karibu anaenda safari Nigeria.
Ningependa kujua maisha ya huko yakoje kuanzia usalama,social life,vyakula na mambo mengine ya msingi.
Mtu muda wote anawaza hela tu tokea utoto wake atasoma saa ngapi? wapo waliosoma ila sio kwa hiyo idadi tunayoambiwa.Asante Mkuu hii itakuwa inewafungua Akili .watu wengi.
Hata hapa Tz MTU aliyefoji cheti hawezi kuwa competent
Siyo kweli, ila kuna mijamaa mingi yenye akili nyingi za mazingaombwe.Awe makini Nigeria Kila mtu tapeli
HakikaMtu muda wote anawaza hela tu tokea utoto wake atasoma saa ngapi? wapo waliosoma ila sio kwa hiyo idadi tunayoambiwa.
Andika vizuriUkiguswa unajibu kuuliza
North nigeria kuna ugaidi na violence asiendeKuna mtu wangu wa karibu anaenda safari Nigeria.
Ningependa kujua maisha ya huko yakoje kuanzia usalama,social life,vyakula na mambo mengine ya msingi.
Hizi habari za kweli mkuu?😁Aangalie movie za Aki na Pawpaw yale ndo maisha halisi ya Nigeria , waliona kituo cha polisi cha Oysterbay baada ya msanii wao mmoja kukamatwa Tz ikazua gumzo nchi nzima Nigeria wanashangaa Tz inawezaje kuwa na kituo cha polisi kizuri kama kile ilikua ni maajabu hawajawahi kuona kwao