Hivi maisha ya Nigeria yakoje?

Hivi maisha ya Nigeria yakoje?

Mimi sosho midia zangu wamejaa wanaijeria, napenda sana content zao. Kikubwa nilichokigundua kwao umeme hakuna 😁😁 yaani ni afadhali ya TANESCO kwa mujibu wao wenyewe NEPA wanaweza kukata umeme hata miezi mitatu kwa baadhi ya maeneo, karibu kila household yenye uchumi wa kati na kuendelea wanamiliki jenereta
 
Aangalie movie za Aki na Pawpaw yale ndo maisha halisi ya Nigeria , waliona kituo cha polisi cha Oysterbay baada ya msanii wao mmoja kukamatwa Tz ikazua gumzo nchi nzima Nigeria wanashangaa Tz inawezaje kuwa na kituo cha polisi kizuri kama kile ilikua ni maajabu hawajawahi kuona kwao
🙌😄😄😁
 
Huu ndo ukweli mchungu umeamua kuuweka hapa

MTU awe na PhD then aishie kusafisha viatu
Dangote alisema kwenye interview ya nafasi za udereva Kuna watu 2 wenyew Ph.D wawili waliomba kazi hizo pia, akasema akawapa mkataba wa kufanya nao kazi kwa muda Fulani then anawaachia malori hayo yawe Yao.
 
Saana

Akikuambia umtumie credit card namba ili akuingizie mzigo wa urithi alioachiwa na wazazi wake tu yaani umekwisha 🤣🤣
Wazungu wamelizwa sana hasa kwa hili la baba alikuwa mjeda halafu kauwawa kaacha hela nyingi Switzerland
Nitumie £2000 niweke mambo sawa ili uwekewe kwenye account yako

Na hiyo ya upendo wengi walitumbukia
 
Wazungu wamelizwa sana hasa kwa hili la baba alikuwa mjeda halafu kauwawa kaacha hela nyingi Switzerland
Nitumie £2000 niweke mambo sawa ili uwekewe kwenye account yako

Na hiyo ya upendo wengi walitumbukia
😬😬 Honey trap
 
Back
Top Bottom