Hivi Magufuli ameshawahi kugusia suala la "ESCROW"

hawezi gusia naye alikura escrow na nyumba alizo uza za serikali hawezi gusia maana magufuli ndo lilikuwa jambazi la nyumba za serikali na kuwahonga Malaya zake waliompatia kaswende
 
Magufuli ni sehemu ya uozo wa CCM na ni sehemu ya walioliangamiza Taifa kiuchumi, kiutamaduni ,ufisadi yaani ni sehemu ya wakubwa wachache waliotufikisha hapa tulipo, sidhani kama anaaminika . Binafsi namuona kama tapeli fulani.Anyway kazi kwao Watanzania wakitaka tuishilie kabisa katika migogoro kama ya wenzetu wampe kura
 
duh, duh, duh, basi kaka yameisha, teh teh teeeee.
 
Mtu aliejenda ghoro baada kumaliza mda wa anaanza kuibomoa na yule alie kuja na kuipamba na kuiendeleza ni yupi bora?......

ndugu yangu ni heri upewe kufundisha watoto wa chekechea watakuelewa lakini si magamba.
 
Magufuli ni sehemu ya uozo wa CCM na ni sehemu ya walioliangamiza Taifa kiuchumi, kiutamaduni ,ufisadi yaani ni sehemu ya wakubwa wachache waliotufikisha hapa tulipo, sidhani kama anaaminika . Binafsi namuona kama tapeli fulani.Anyway kazi kwao Watanzania wakitaka tuishilie kabisa katika migogoro kama ya wenzetu wampe kura

akili kumkichwa.
 
Ingekuwa rahisi sana hata mimi kumpa kura yangu kama angeelezea kidogo tu kuhusu ESCROW, lakini kwa sasa simuamini hata chembe, kwanini unahifadhi uchafu ndani badala ya kuutoa na kuuchoma moto?
Amejumlisha yote yaliyo kwenye fungu la UFISADI.. ataunda mahakama yake.. tujiandae kupeleka kesi/mashtaka...
 
Hajawahi kuzungumzia Escrow wala Katiba.
Ndo maana alichaguliwa kugombea kwa tiketi ya CCM.
Watu makini waliowahi kuzungumzia Escrow kama Prof Mwandosya walitemwa.
 
Amejumlisha yote yaliyo kwenye fungu la UFISADI.. ataunda mahakama yake.. tujiandae kupeleka kesi/mashtaka...

hapana kaikwepa ESCROW mbona kwenye richmond anasisitizia?
 
Ingekuwa rahisi sana hata mimi kumpa kura yangu kama angeelezea kidogo tu kuhusu ESCROW, lakini kwa sasa simuamini hata chembe, kwanini unahifadhi uchafu ndani badala ya kuutoa na kuuchoma moto?
Young unagusa sehemu za hatari kweli. Maana hili jambo wengi tulisahau kuli uliza ki undani. Richmond katika ufisadi ni sawa na kajimkia katika mwili wa kiboko. Hebu kweli asimame amzungumzie Kiboko tuone kama kweli yeye ni shupavu. Na mimi naunga mkono. Akisadiki kusimama na kuwataja wahusika na kutueleza jinsi atakavyo washuhulikia nitamfikiria japo kidogo. Lakini hili la Uraisi ni big NO . Ana mapungufu mengi ambayo napata mashaka kama kweli anaweza kuwa mzalendo kwa nchi hii.Huwa sibadilishi msimamo wangu.
 
Ataongeleaje juu ya ESCROW na hela hizo hizo ndizo zinazomsaidia kwenye campaign.That was a CCM inside job.
Ingekuwa rahisi sana hata mimi kumpa kura yangu kama angeelezea kidogo tu kuhusu ESCROW, lakini kwa sasa simuamini hata chembe, kwanini unahifadhi uchafu ndani badala ya kuutoa na kuuchoma moto?
 
Ingekuwa rahisi sana hata mimi kumpa kura yangu kama angeelezea kidogo tu kuhusu ESCROW, lakini kwa sasa simuamini hata chembe, kwanini unahifadhi uchafu ndani badala ya kuutoa na kuuchoma moto?

Mnamwonea Dr.Makufuri- Dr. Slaa alisema hivi- choo yote imehamia chadema kwa hali hiyo harufu ya choo ndo mnavuta nadhani ndo imewachanganya kwa muda huu, na ndo maana kunyakunya imeongezeka huko!
 
Young unagusa sehemu za hatari kweli. Maana hili jambo wengi tulisahau kuli uliza ki undani. Richmond katika ufisadi ni sawa na kajimkia katika mwili wa kiboko. Hebu kweli asimame amzungumzie Kiboko tuone kama kweli yeye ni shupavu. Na mimi naunga mkono. Akisadiki kusimama na kuwataja wahusika na kutueleza jinsi atakavyo washuhulikia nitamfikiria japo kidogo. Lakini hili la Uraisi ni big NO . Ana mapungufu mengi ambayo napata mashaka kama kweli anaweza kuwa mzalendo kwa nchi hii.Huwa sibadilishi msimamo wangu.

mwaka huu tupo makini kwenye kila jambo sidhani kama watatoka salama.
 
nyinyi ndo sijui mpo dunia ya ngapi.

Alisha zungumzia mbona, alisema richmond inaihu mamlaka iliyo kuwa juu yake, yaani Raisi.Akasema yeyote anayedhani yeye anahusika, aende mahakani.

Magufuli hawezi kuzungumzia escrow wala katiba.

Ndo ujuwe kwamba hata mahakama anayodai Mafugufuli kuanzisha ni porojo za kutaftia kura.

Kama kweli yuko serious atutajie waliochukua pesa za escrow kupitia stanibic bank, wa Mkombozi tunawajuwa na a ahidi kuanza na hao kabla ya richmond.

Richomond hata kama ni kweli kuna upungufu , tunaweza kusamehe maana ilitokea katika harakati za kulikwamua Taifa na shida ya umeme.

Ni tofauti na escrow ambao ni wizi wa mchana kweupe.

Tuacheni ushabiki usio na tija.
 
Mnamwonea Dr.Makufuri- Dr. Slaa alisema hivi- choo yote imehamia chadema kwa hali hiyo harufu ya choo ndo mnavuta nadhani ndo imewachanganya kwa muda huu, na ndo maana kunyakunya imeongezeka huko!

unataka kuniambia kwamba kati ya Lowassa, Mwapachu Sumaye na kingunge ndo waliohusika na ESCROW?
 
Back
Top Bottom