Hivi Magufuli ameshawahi kugusia suala la "ESCROW"

Hivi Magufuli ameshawahi kugusia suala la "ESCROW"

Hata Jakaya hawezi kuthubutuuuuuuu hata kidogo kutamka neno ESCROW!

Ha ha ha. Lakini hata mgombea wa ACT na mfazili wao Zito kabwe aongelei. Hata Dr. Slaa, Warioba, awaliongelei swala la ESCROW. Waandishi wa havari awailizi ili swali tena kwa viongozi wakiwa majukwaani na press conference. Kilamtu anaogopa kuongelea walibeba hela STANBIC kwa viroba
 
tatizo letu ndo hilo tumezidi kuwa waoga.
 
escrow na katiba mpya ni maneno machungu kwake
 
Lowasa azungumzie katiba, Richmond thubutu ububu humjua ghafla Labda kumleta balali na kumtoa babu seya gerezani
 
Ingekuwa rahisi sana hata mimi kumpa kura yangu kama angeelezea kidogo tu kuhusu ESCROW, lakini kwa sasa simuamini hata chembe, kwanini unahifadhi uchafu ndani badala ya kuutoa na kuuchoma moto?

na hivi lowassa kama lowassa ameshalizungumzia na kulitolea muafaka kamili yeye kama yeye hili suala zima la sakata la richmond?
 
na hivi lowassa kama lowassa ameshalizungumzia na kulitolea muafaka kamili yeye kama yeye hili suala zima la sakata la richmond?

swali likiwa gumu linakuwa tatizo, mwanafunzi anaweza kuanza mbwembe akawa anajamba ili apotezee swali.
 
Vipi kuhusu katiba mpya! Sijasikia akiitamkia lolote. Hawa magamba ovyo.....nchi inawezaje kutawalika bila maadili ya viogozi? Simpi kura yangu.
 
Magufuli hausiki na tayari hatua zishachuliwa hadi kufikia hatua ya fedha za mcc kuruhusiwa kutoka kwa awamu ya pili... hoja hiyo imekufa...

hoja ni hii LOWASA akizungumzia RICHMOND nami nitampa kura

Unataka azungumzie mara ngapi, Unaonekana siyo mfatiliaji wa habari.

Mtu kisha jieleza na mhusika wa Richmond kisha tajwa kuwa ni Kikwete, sijuwi watu mnataka nini zaidi.

Na akamalizia kwa kusema , ambaye anataka kufahamu zaidi aende mahakamani.

Sasa bado unataka nini?
 
Mkuu tatizo kubwa la baadhi ya watu kama hawa ni kusubiri kuletewa kila kitu humu JF. Hawajishughulishi kutafuta habari sehemu nyingine wao humu ndio wanalala na kuamkia. Kwa hiyo ni vigumu wao kusikia hayo uliyomweleza.
 
Hela za sandarusi ndo zimejengea majukwaa zimeweka petroli magari zimelipia gharama.zootee hadi za wale wanaojiita tumestuka
 
Back
Top Bottom