LOGARITHM
JF-Expert Member
- May 5, 2010
- 974
- 476
mwambie ajaribu basi kidogo tu jamani.
Wacha niwatonye Lizaboni na Jingalao wamshitue fasta kabla ya kampeni hazijaisha.
mwambie ajaribu basi kidogo tu jamani.
Ataanza na Richmond,mashamba, ranch na viwanda.usipotoshe
Lowasa kazungumza lini kuhusu rusha?
Bilioni 250 ambazo amedanganya bunge na watanzania tu hajakanusha wala kutoa maelezo kwa nini alikiuka bajeti?
Hana tofauti na waliomtuma
Ataizungumziaje katiba na walioichakachua ndio anawawanadi na ndio wanao mnadi.. ataizungumziaje escrow... Hela ya wasanii na mikutano itatoka wapi??!!!
coz wanafaidika nazo kwa sasa sio?
Hana ubavu wa kuzungumzia hilo.
Anazungumza ufisadi geresha tu, kupata kura ila kutoka moyoni hana nia yoyote.
Magufuli hausiki na tayari hatua zishachuliwa hadi kufikia hatua ya fedha za mcc kuruhusiwa kutoka kwa awamu ya pili... hoja hiyo imekufa...
hoja ni hii LOWASA akizungumzia RICHMOND nami nitampa kura
Dr Cassava ameadiwa Kujengewa shule na Hosipital ya kisasa kwa Pesa ya Escrow.. ..kamwe awezi kuiongelea escrow
Membee kwa ustadi mkuu alimtumia mrs cassava kufanikisha lengo, ikumbukwe mrs cassava ndio kichwa cha familia mr cassava akiwa nyumbani
Ndugu acha kutukana wakunga wakati uzazi ungalipo. Lowasa kaifanyia nini chadema na wananchi na Dr.slaa kaifanyia nini chadema na wananchi
Magufuli hausiki na tayari hatua zishachuliwa hadi kufikia hatua ya fedha za mcc kuruhusiwa kutoka kwa awamu ya pili... hoja hiyo imekufa...
hoja ni hii LOWASA akizungumzia RICHMOND nami nitampa kura
Ukimpa Lowassa muda kama aliokaa Dr. Mihogo, M4C Original hii itakuwa level za Republican au Democratic parties.
Ndugu acha kutukana wakunga wakati uzazi ungalipo. Lowasa kaifanyia nini chadema na wananchi na Dr.slaa kaifanyia nini chadema na wananchi