Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,642
- 21,266
Hajawahi. Kwake yeye na wengi wa wanazi wa CCM ufisadi pekee ni RICHMOND. Deal nyingine zote ilikuwa normal business.
Sadam Hussein hajui alikuwa Rais wa wapi ESCROW ataijulia wapi!
Jamani acheni kumsakama mzee wa push up. Yeye alishatoa ahadi kwa waliompa nafasi hiyo kuwa SITAWAANGUSHA, sasa mambo ya ESCROW si ndio kuwaangusha huko?
Kwa hiyo hata hayo ya mahakama za mafisadi ni gia tuu baada ya kukosa la kuongea. Ni ahadi hewa tuu kama zile 50mil na Laptop za waalimu.
Sadam Hussein hajui alikuwa Rais wa wapi ESCROW ataijulia wapi!
Hajawahi. Kwake yeye na wengi wa wanazi wa CCM ufisadi pekee ni RICHMOND. Deal nyingine zote ilikuwa normal business.
Kwani lowassa kashawah zungumzia suala la Richmond?
Hivi hizo laptop za Magufuli kwa walimu zitakuwa za solar ama.....................!!!?
AZUNGUMZE ASIZUNGUMZE KULA NI KWA LOWASA.Ingekuwa rahisi sana hata mimi kumpa kura yangu kama angeelezea kidogo tu kuhusu ESCROW, lakini kwa sasa simuamini hata chembe, kwanini unahifadhi uchafu ndani badala ya kuutoa na kuuchoma moto?
AZUNGUMZE ASIZUNGUMZE KULA NI KWA LOWASA.
SIMPI KULA mgombea yeyote wa ccm kwa kuwa maESCROW yamefanywa na wana ccm na ccm imetetea mpaka UCHUKI UMEYUMBA. SHILINGI YA TZ. imeshuka sana kuanzia JULAY kwa sababu ya sakata hili.
Simuelewi mtu akileta ya Richmond ambayo matokeo yake yaliamuliwa na leo LOWASA kafunguka kuwa muhusika ni mkuu wa ikulu. ambaye ni ccm.
siitaki ccm.
USA mtu hawezi chapa Richmond nzima nzima halafu wakuachie nchi yao.labda kile chama cha ma geiUkimpa Lowassa muda kama aliokaa Dr. Mihogo, M4C Original hii itakuwa level za Republican au Democratic parties.
Mmmm.kafagie barabaraLowasa ndo anania ya dhati kabisa kuwakomesha mafisadi wote na atawafagia wote wataipata fresh mafisadi wote wajiandae
USA huwezi chapa Richmond nzima nzima halafu wakuachie nchi yao.labda kile chama cha ma gei
Mmmm.kafagie barabara
Ndugu acha kutukana wakunga wakati uzazi ungalipo. Lowasa kaifanyia nini chadema na wananchi na Dr.slaa kaifanyia nini chadema na wananchi
Pole.Mambo yote yalizungumzwa,kutajwa na kuhojiwa Bungeni kwa wazi.huku mitaani ni hadithiila ukichapa escrow fresh unaendelea na madaraka, alafu tumia akili au kama ubongo wako una capacity ndogo nunua memory card uingize, Lowassa alishamtaja mhusika wa Richmond au mnamuogopa?
si kufagia tu, mpaka kudeki tutadeki.
Hajawahi. Kwake yeye na wengi wa wanazi wa CCM ufisadi pekee ni RICHMOND. Deal nyingine zote ilikuwa normal business.