Hivi Magufuli ameshawahi kugusia suala la "ESCROW"

Hivi Magufuli ameshawahi kugusia suala la "ESCROW"

Alisha zungumzia mbona, alisema richmond inaihu mamlaka iliyo kuwa juu yake, yaani Raisi.Akasema yeyote anayedhani yeye anahusika, aende mahakani.

Magufuli hawezi kuzungumzia escrow wala katiba.

Ndo ujuwe kwamba hata mahakama anayodai Mafugufuli kuanzisha ni porojo za kutaftia kura.

Kama kweli yuko serious atutajie waliochukua pesa za escrow kupitia stanibic bank, wa Mkombozi tunawajuwa na a ahidi kuanza na hao kabla ya richmond.

Richomond hata kama ni kweli kuna upungufu , tunaweza kusamehe maana ilitokea katika harakati za kulikwamua Taifa na shida ya umeme.

Ni tofauti na escrow ambao ni wizi wa mchana kweupe.

Tuacheni ushabiki usio na tija.

CCM haina cha kujitetea kwa wananchi sasa, na umauti haukimbiliki.
 
mbinu za ushindi za ccm ni kuwafanya watanzania wajinga tu,kama hatuelewi kitu wakituletea burudani viwanjani sisi tunajaa tu hata kama wanatucheka wanatuona mazezeta sana.
-hajawahi kuigusia katiba iliyopendekezwa ambayo imesheheni nyenzo za wala rushwa na anasema yeye ni mpiganaji wa rushwa
-hajawahi kulaani escrow na kusema atawachukulia hatua gani za kisheria wale walokula escrow bali anasema atapigana na wala rushwa
wao wanaimba nyimbo za kubembeleza watanzania walale tu ili waendelee kufanya yao

Usikute anamanisha kupigana ngumi kavukavu maana nahizi push up ndio anajifua kuzipanga
 
Aligusie kwani vyombo vya kufanya kazi hiyo havipo tena?
 
Back
Top Bottom