Hivi Magufuli ameshawahi kugusia suala la "ESCROW"

Hivi lowasa ameshasema neno hilo eeh?
 
mbinu za ushindi za ccm ni kuwafanya watanzania wajinga tu,kama hatuelewi kitu wakituletea burudani viwanjani sisi tunajaa tu hata kama wanatucheka wanatuona mazezeta sana.
-hajawahi kuigusia katiba iliyopendekezwa ambayo imesheheni nyenzo za wala rushwa na anasema yeye ni mpiganaji wa rushwa
-hajawahi kulaani escrow na kusema atawachukulia hatua gani za kisheria wale walokula escrow bali anasema atapigana na wala rushwa
wao wanaimba nyimbo za kubembeleza watanzania walale tu ili waendelee kufanya yao
 
Kwa iyo awaseme wakubwa wake hadharani? Yeye ameelekezwa kukumbuka Richmond ila escrow, epa , uda , ufisadi wa wizara ya ujenzi, mabehewa hewa, hawezi kwa kuwa waliomtuma ndio wamezmeza.
 
Sasa mkuu tangu lini mtu akajipaka kinyesi usoni? ESCROW ni CCM, na ccm ni escrow hata vijana wa lumumba wanalipwa kwa hiyo.
 
Hivi lowassa aliwahi kuzungumzia ufisadi?
 
Ingekuwa rahisi sana hata mimi kumpa kura yangu kama angeelezea kidogo tu kuhusu ESCROW, lakini kwa sasa simuamini hata chembe, kwanini unahifadhi uchafu ndani badala ya kuutoa na kuuchoma moto?

Hata kama ni kichaa hawezi kuzungumzia vibaya wafadhili wa kampeni yake. Escrow is their baby!
 
Jamani acheni kumsakama mzee wa push up. Yeye alishatoa ahadi kwa waliompa nafasi hiyo kuwa SITAWAANGUSHA, sasa mambo ya ESCROW si ndio kuwaangusha huko?
Kwa hiyo hata hayo ya mahakama za mafisadi ni gia tuu baada ya kukosa la kuongea. Ni ahadi hewa tuu kama zile 50mil na Laptop za waalimu.
 
Hivi lowasa ameshasema neno hilo eeh?

Magufuli ndo anakemea ufisadi si ndio? na ametaja sana Richmond, je escrow mbona hataji?

Lowassa hajazungumzia Richimond na kutuambia kuwa hakuhusika ila alijiuzulu kuficha madhambi ya wakubwa.
 
Hivi lowassa aliwahi kuzungumzia ufisadi?

Sasa kwani anaposema atahakikisha kodi inakusanywa kutoka kwa wale wanaokwepa kulipa ili ziende kwenye Elimu na afya hiyo ni nini?
Au ulitaka aje na style ya kizamani kama ya Dr mihogo ya kuja na majina kuwa hawa ni mafisadi? That is old fashion, kila kitu na wakati wake!
 
Jamani acheni kumsakama mzee wa push up. Yeye alishatoa ahadi kwa waliompa nafasi hiyo kuwa SITAWAANGUSHA, sasa mambo ya ESCROW si ndio kuwaangusha huko?
Kwa hiyo hata hayo ya mahakama za mafisadi ni gia tuu baada ya kukosa la kuongea. Ni ahadi hewa tuu kama zile 50mil na Laptop za waalimu.

Ahaa, nimestuka.
 
Kwa iyo awaseme wakubwa wake hadharani? Yeye ameelekezwa kukumbuka Richmond ila escrow, epa , uda , ufisadi wa wizara ya ujenzi, mabehewa hewa, hawezi kwa kuwa waliomtuma ndio wamezmeza.

basi akafie mbele huko.
 
Back
Top Bottom