Hivi Magufuli ameshawahi kugusia suala la "ESCROW"

Ingekuwa rahisi sana hata mimi kumpa kura yangu kama angeelezea kidogo tu kuhusu ESCROW, lakini kwa sasa simuamini hata chembe, kwanini unahifadhi uchafu ndani badala ya kuutoa na kuuchoma moto?

Kweli kizazi cha sasa ni kizazi cha vilaza. Vijana wengi mmebaki kuwa mabishoo wa kushusha suruali kwenye makalio, uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana! Niandike kwa ufupi tu kukusadia, Magufuli ndio mgeombea pekee anayezungumzia kupambana na ufisadi na anapozungumzia ufisadi elewa kwamba tayari kazungumzia Escrow, Richmond ya fisadi Lowassa na uchafu wote ambao unagusa rushwa na ufisadi. Usipompa kura huyu jamaa basi huenda ukawa kichwani una matatizo makubwa sana!
 
nahisi Lowassa amewaharibu kisaikolojia, yaani mlipo mmechanganyikiwa kabisa, na bado tarehe 28 ndo mtachanganyikiwa zaidi.
 
Magufuli ananadi ILANI ya uchaguzi kwa bahati mbaya ESCROW sio ilani ya uchaguzi. Hii ingekuwa kwenye ilani ya uchaguzi ya ukawa lakini wameshindwa kuiweka kwani waliwapokea wapiga dili wakubwa hivyo wanaona aibu.
 
Kweli kizazi cha sasa ni kizazi cha vilaza. Vijana wengi mmebaki kuwa mabishoo wa kushusha suruali kwenye makalio, uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana! Niandike kwa ufupi tu kukusadia, Magufuli ndio mgeombea pekee anayezungumzia kupambana na ufisadi na anapozungumzia ufisadi elewa kwamba tayari kazungumzia Escrow, Richmond ya fisadi Lowassa na uchafu wote ambao unagusa rushwa na ufisadi. Usipompa kura huyu jamaa basi huenda ukawa kichwani una matatizo makubwa sana!

Sawa alisema ni nani aliyekwapua Bilion 72 za Escrow? Aliyekwapua amechukuliwa hatua gani?
 
nahisi Lowassa amewaharibu kisaikolojia, yaani mlipo mmechanganyikiwa kabisa, na bado tarehe 28 ndo mtachanganyikiwa zaidi.

Kumbe hata tarehe yenyewe huijui. Ndugu yangu kwanini usishabikie mambo mengine kuliko haya ya siasa?
 
Ingekuwa rahisi sana hata mimi kumpa kura yangu kama angeelezea kidogo tu kuhusu ESCROW, lakini kwa sasa simuamini hata chembe, kwanini unahifadhi uchafu ndani badala ya kuutoa na kuuchoma moto?

Aelezee nini suala la escrow? Ni nini ambacho hukielewi kuhusu escrow?

Unajuwa maana ya escrow ni nini?
 
Back
Top Bottom