Hivi Magufuli ameshawahi kugusia suala la "ESCROW"

Sasa kwani anaposema atahakikisha kodi inakusanywa kutoka kwa wale wanaokwepa kulipa ili ziende kwenye Elimu na afya hiyo ni nini?
Au ulitaka aje na style ya kizamani kama ya Dr mihogo ya kuja na majina kuwa hawa ni mafisadi? That is old fashion, kila kitu na wakati wake!

ndugu yangu hii migamba itatupa kazi kweli kuiongoza tukiingia madarakani.
Lowassa Elimu, Elimu, Elimu inahitajika.
 
wakati pesa ya escrow ndio anaitumia kupigia kampen
 
Haya njoo huku uniambie ni lini Magufuli amewahi kuzungumzia ESCROW,yeye anajinadi kupambana na ufisadi,tutamuamini vipi kama hili tu ameshindwa kulizungumzia?
cc DuppyConqueror
 
Last edited by a moderator:
hata Dr Slaa a.k.a Dr Miogo na Mkewe + Mzee mwanakijiji kamwe awezi kuongelea Swala la Escrow! chezea mgao!!!!!!!
 
Ingekuwa rahisi sana hata mimi kumpa kura yangu kama angeelezea kidogo tu kuhusu ESCROW, lakini kwa sasa simuamini hata chembe, kwanini unahifadhi uchafu ndani badala ya kuutoa na kuuchoma moto?

Magufuli hausiki na tayari hatua zishachuliwa hadi kufikia hatua ya fedha za mcc kuruhusiwa kutoka kwa awamu ya pili... hoja hiyo imekufa...

hoja ni hii LOWASA akizungumzia RICHMOND nami nitampa kura
 
Hili la escrow kwa kweli linanitia hasira sana. watu wamepiga hela mchana kweupe pale stanbic eti watu wamenyamaza kimya km hii nchi haina weneywe! Hivi usalama wetu wa taifa huwa wanafanya nini? Watu wanaiibia nchi mchana kweupe wao wanagaa mimacho tu!
 
Ataanza na Richmond,mashamba, ranch na viwanda.usipotoshe

Ingekuwa rahisi sana hata mimi kumpa kura yangu kama angeelezea kidogo tu kuhusu ESCROW, lakini kwa sasa simuamini hata chembe, kwanini unahifadhi uchafu ndani badala ya kuutoa na kuuchoma moto?
 
Magufuli hausiki na tayari hatua zishachuliwa hadi kufikia hatua ya fedha za mcc kuruhusiwa kutoka kwa awamu ya pili... hoja hiyo imekufa...

hoja ni hii LOWASA akizungumzia RICHMOND nami nitampa kura

Lowassa aseme mara ngapi kuhusu Richmond? alijiuzulu kulinda uongozi wa juu "yeyote mwenye ushahidi akashtaki mahakamani"
 
Magufuli hausiki na tayari hatua zishachuliwa hadi kufikia hatua ya fedha za mcc kuruhusiwa kutoka kwa awamu ya pili... hoja hiyo imekufa...

hoja ni hii LOWASA akizungumzia RICHMOND nami nitampa kura
eshaizungumzia kaka au ulikuwa ngambo? kazungumzia kwa kina na jinsi ambavyo order ilitoka kwa mkuu kwamba mkataba usivunjwe? By the way unataka kusema kwa ishu kubwa na ya dharura km ile kuna kitu kilifanyika bila rais kujua?
 
Ingekuwa rahisi sana hata mimi kumpa kura yangu kama angeelezea kidogo tu kuhusu ESCROW, lakini kwa sasa simuamini hata chembe, kwanini unahifadhi uchafu ndani badala ya kuutoa na kuuchoma moto?

Lowasa kazungumza lini kuhusu rusha?
 
Magufuli hausiki na tayari hatua zishachuliwa hadi kufikia hatua ya fedha za mcc kuruhusiwa kutoka kwa awamu ya pili... hoja hiyo imekufa...

hoja ni hii LOWASA akizungumzia RICHMOND nami nitampa kura

Mnajitoa ufahamu!
Alishasema order ilitoka juu (from waziri mkuu, juu yake unakujua? )
 
Back
Top Bottom